Zindiko la mwili laua watu 23

Zindiko la mwili laua watu 23

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
197
Hi great thinkers Jana jioni katika kijiwe na babu Fulani akatupa historia yake jinsi alivyo sababisha vifo vya watu 23 kijijini kwao.

Babu alituambia kuwa aliwekewa zindiko hilo Pangani Tanga alipokwenda kikazi Mara baada ya mwaka mmoja akaanza kuona wafanyakazi wenzie wanakufa mmoja baada ya mwingine huyu wa 23 akamfuata babu kumuomba msamaha Kwa ubaya alomfanyia kazini.Babu akamwambia yeye hana sababu ya kumuomba msamaha kwakuwa hakumfanya lolote

Mgonjwa wa 23 akamwambia mzee mwili wako hauguswi mganga ameniambia hivyo nilipokuwa napata tiba.Wiki moja baadae yule mgonjwa akafa akafikisha watu 23 waliokufa Kwa kugonga mwamba.

Duniani kuna mambo kweli nikajikuta namuomba babu anipeleke Kwa huyo mganga akasema hapana Kwa maisha ya sasa unaweza kuua watu wengi sana ukipewa hiyo nguvu mwilini kwakuwa wanadamu wa sasa ni wabishi sana wakaidi wana dharau sana hivyo mjukuu wangu sikushauri ufanye hivyo nikaitikia kishingo upande.Mazungumzo yakaishia hapo je mdau una lolote la kuongeza karibuni.
 
Hapa unamaanisha CCM isipelekwe kwenye majimbo ya watu wenye akili itamaliza watu wengi sn, Singida, Longido na Songea.
Wewe unaota sisiem tu, kwanini usiseme kua anamansha dj kua yeyoye atakae gusa mwl wake yaani kumngoa uchea ataondoka yeye chaman
 
Hizo ni story za kufurahisha Kijiwe tu, ila kiuhalisia hakuna ukweli wowote juu ya uwepo wa Vitu hivyo, hata huko Tanga hizo ni story za Watu walioishi zamani na si hawa Matapeli wa siku hizi!!!
 
Red.
Mkuu jaribu kuwa na akil basi maana inaonekana umeathirika psychologically ajili ya CCM..
Utakufa kwa presha burw

.Hapa unamaanisha CCM

.
Hapa unamaanisha CCM isipelekwe kwenye majimbo ya watu wenye akili itamaliza watu wengi sn, Singida, Longido na Songea.
 
Dhamira yako siyo nzuri kabisa...

Mshukuru Mungu kwa kila jambo...
 
Ndio yale yale ya zile sms za " ile dawa uliyonisaidia babu imenifanikisha nipepata mali nyingi nyumba, gari za kuchezea, biashara kemkem na mwanamke mzuri sana"
Wajinga ndio waliwaoooo.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom