Mchungaji KKKT akemea wanaowatakia wananchi maisha ya mashetani

Mchungaji KKKT akemea wanaowatakia wananchi maisha ya mashetani

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,370
Ilikuwa ni ibada maalum ya maombi na maombezi usharika wa Magomeni mviringo. Mchungaji (sikupata jina lake lakini sio Kiporoza) alikemea kwa jina la Yesu wale wanaotamanani watu waishi kama mashetani na kumuomba Mungu aliye hai awape wao sawasawa na matamanio yao ya kuishi kama shetani.

Akaomba kwa Mungu wa mbinguni ya kwamba awatakabali waumini na kuwapa maisha ya malaika wa mbinguni. Ibada ilikuwa nzuri sana, baada ya maombi na maombezi nyuso za washarika zilijaa bashasha na matumaini.
 
Kichwa cha habari yako kilipaswa kusomeka hivi:

" Mchungaji KKKT amkemea anayewatakia wananchi maisha ya mashetani "
Nimezingatia wanaojiuzulu kwa lengo la kumuunga mkono aliyetamka hivyo.
 
mbona wapo wanaoishia kama shetani? hebu sikiliza tangazo la mdudu kaa clouds fm
 
Nimezingatia wanaojiuzulu kwa lengo la kumuunga mkono aliyetamka hivyo.

mkuu mimi nimekuelewa sana ila ujue hapo nimeandika zaidi ya kuandika, nadhani unafahamu ni nani aliyewatakia watu waishi kama mashetani.
 
mkuu mimi nimekuelewa sana ila ujue hapo nimeandika zaidi ya kuandika, nadhani unafahamu ni nani aliyewatakia watu waishi kama mashetani.
Waliokuwa wanaishi kama malaika enzi ya upigaji dili wataishi kama mashetani na waliokuwa wakinyanyasika kwa kuonewa na kuporwa haki zao wataishi kama malaika. Mwisho wa kuedit
 
Ilikuwa ni ibada maalum ya maombi na maombezi usharika wa Magomeni mviringo.
Mchungaji (sikupata jina lake lakini sio Kiporoza) alikemea kwa jina la Yesu wale wanaotamanani watu waishi kama mashetani na kumuomba Mungu aliye hai awape wao sawasawa na matamanio yao ya kuishi kama shetani, akaomba kwa Mungu wa mbinguni ya kwamba awatakabali waumini na kuwapa maisha ya malaika wa mbinguni.
Ibada ilikuwa nzuri sana, baada ya maombi na maombezi Nyuso za washarika zilijaa bashasha na matumaini.
Amesemaje kuhusu wapiga dili waliokuwa wakiishi kama malaika
 
mkuu mimi nimekuelewa sana ila ujue hapo nimeandika zaidi ya kuandika, nadhani unafahamu ni nani aliyewatakia watu waishi kama mashetani.
Najua kuwa umenielewa, nashukuru kwa mchango wako.

Najaribu kuwaunganisha kina mtulia wanaojiuzulu ubunge kwa lengo la kumunga mkono jitihada anazozifanya mtoa tamko la matamanio kuwa...... Kama mashetani.
Ina maana nao wanaomba chorus ya wimbo wa mashetani!

Automatically kunakuwa na kundi la watu wanajishirikisha kuimba. Jumlisha na kina shonza timu inaongezeka.

Plural haiepukiki
 
  • Thanks
Reactions: mij
Amesemaje kuhusu wapiga dili waliokuwa wakiishi kama malaika
Watenda dhambi wameandaliwa ziwa la moto watajimwayamwaya na shetani humo parapanda likipigwa.
 
Waliokuwa wanaishi kama malaika enzi ya upigaji dili wataishi kama mashetani na waliokuwa wakinyanyasika kwa kuonewa na kuporwa haki zao wataishi kama malaika. Mwisho wa kuedit

Je baada ya miaka hii miwili waliokuwa wakinyanyasika kwa kuonewa na kuporwa haki zao wanaishi kama malaika?
 
Kweli nimeamini kkkkkttttt na chadomo ni chanda na pete, ndo maana hata sumu haye low hasa, na nyandula wameenda kuongeza nguvu kwenye chama cha kanisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom