Mwalimu Almasi
New Member
- Dec 3, 2017
- 1
- 0
Kuna matatizo makubwa sana katika mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira SUWASA Rukwa.
Sisi wananchi kukosa mita za maji kutokana na ubadhirifu mkubwa ndani ya mamlaka, nasikia hata wafanyakazi wa pale mishahara kwa mbinde.
Serikali tunaiomba itume vyombo vya kichunguzi pale. Natumaini Serikali hii imara itafanyia kazi.