fundi wa umeme wa majumbani anahitajika..

kabon14

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
1,233
867
Habar zenu wakuu,

Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani
Awe dodoma

Kama yupo ani PM tafadhali..!!

Ahsanteni..!!
 
Habar zenu wakuu,

Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani
Awe dodoma

Kama yupo ani PM tafadhali..!!

Ahsanteni..!!
Mcheki huyu... 0755 309 522 / +255655620699
Anaitwa Msele. Ni fundi wangu pia.
 
Habar zenu wakuu,

Kama kichwa cha Uzi kinavyosema, ninamuhitaj fundi mzuri wa umeme wa majumbani
Awe dodoma

Kama yupo ani PM tafadhali..!!

Ahsanteni..!!
Mkuu nina jamaa yangu fundi umeme mzuri mwenye uzoefu amefanya kazi na makampuni mengi ila kwa sasa yuko singida kwa mapumziko kama utamuhitaji uje pm nikupe contact zake ili muongee
 
Back
Top Bottom