Nimekamatwa hapa Manga-Mkata kwa kosa nina nakala ya driving licence

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Dua Zenu Jf Nimezingirwa Na Yange Yange Hapa Kosa Kopi Ya Leseni Origional Nimeisahau Home Totoo Nyeupe Ya Kipare Imenuna Tuna Nusu Robo Saa Dua Zenu Great Thinkers.Discovery Inanguruma Pembeni Ya Barabara.
 
Kichakoro

JF-Expert Member
Sep 10, 2008
2,544
2,000
Mwambie akuoneshe sheria inataka nini kuhusu leseni na kaadi ya gari. Itakuaa kosaa kama hukuithibitisha( if not certified).
 
JT2014

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
1,865
2,000
Kutokuwa na leseni mkononi ni kosa lakini siyo
la kukamatwa muda huo huo.Dereva anaruhusiwa kuwasilisha leseni
sehemu yoyote atakayopangiwa na trafiki ndani ya masaa 72
na si vinginevyo. Usipowasilisha watatumia details za gari
kukutafuta na ukikamatwa sasa hilo ni kosa.
kama wanakuzingua omba namba ya kamanda Mpinga.

Labda kama umewatolea lugha mbaya hiyo
ni kosa la jinai lakini kusahau leseni
siyo kosa kivile.
Kopi zote lazima ziwe satified na ofisa wa TRA
siyo unajitolea kopi hata ile ya kadi ya gari
lazima ithibitishwe na TRA.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,297
2,000
Ungekuwa umekamatwa kweli hata muda wa kupost huku usingeupata...kwa namna unavyoonekana muoga haja kubwa na ndogo zingekuwa zishagonga masantura saa hizi
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,364
2,000
Dua Zenu Jf Nimezingirwa Na Yange Yange Hapa Kosa Kopi Ya Leseni Origional Nimeisahau Home Totoo Nyeupe Ya Kipare Imenuna Tuna Nusu Robo Saa Dua Zenu Great Thinkers.Discovery Inanguruma Pembeni Ya Barabara.
Weka picha.maana hadith ya humu kuna wakati ni kamba.
 
Dec 5, 2012
29
95
Kutokuwa na leseni mkononi ni kosa lakini siyo
la kukamatwa muda huo huo.Dereva anaruhusiwa kuwasilisha leseni
sehemu yoyote atakayopangiwa na trafiki ndani ya masaa 72
na si vinginevyo. Usipowasilisha watatumia details za gari
kukutafuta na ukikamatwa sasa hilo ni kosa.
kama wanakuzingua omba namba ya kamanda Mpinga.

Labda kama umewatolea lugha mbaya hiyo
ni kosa la jinai lakini kusahau leseni
siyo kosa kivile.
Kopi zote lazima ziwe satified na ofisa wa TRA
siyo unajitolea kopi hata ile ya kadi ya gari
lazima ithibitishwe na TRA.

Good uko vizuri lazima copy isibitishwe lakini copy ya driving license hakuna at a MTU mmoja aliye izinishiwa d/license hata ukiwa unaomba kazi lazima upeleke copy na original kwa mwanasheria au HAKIMU asaini hizo copy na kugonga muhuri
 
JT2014

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
1,865
2,000
Good uko vizuri lazima copy isibitishwe lakini copy ya driving license hakuna at a MTU mmoja aliye izinishiwa d/license hata ukiwa unaomba kazi lazima upeleke copy na original kwa mwanasheria au HAKIMU asaini hizo copy na kugonga muhuri
Ndo maana huyu anaangukia kwenye fungu
la wale wasio naleseni mkononi,anatakiwa apewe masaa 72 kuiwasilisha original
mahali atakapoelekezwa na polisi aliyemkamata.Kuendelea kumshikilia au kushikilia
gari ni uvunjifu wa sheria.
na kauli mbiu ya polisi ni tii sheria bila shurti.
 
Super Tuesday

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
636
1,000
zile leseni za zamani kama kijikitabu kidogo walikuwa wanaruhusu kutumia copy yake kuendeshea gari lakini hizi za sasa hawakubali.
 
Stream line

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
393
250
acha gari fata leseni. hakikisha hayapoti masaa 72 kabla ya kuwakilisha hiyo leseni. haeshimu mamlaka
 
Bullionism

Member
Mar 24, 2017
20
95
Dua Zenu Jf Nimezingirwa Na Yange Yange Hapa Kosa Kopi Ya Leseni Origional Nimeisahau Home Totoo Nyeupe Ya Kipare Imenuna Tuna Nusu Robo Saa Dua Zenu Great Thinkers.Discovery Inanguruma Pembeni Ya Barabara.
Kwan sheria inakutaka ubebe reseni ya udereva au nakala tu?
 
ishiveti

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
1,019
1,500
Kutokuwa na leseni mkononi ni kosa lakini siyo
la kukamatwa muda huo huo.Dereva anaruhusiwa kuwasilisha leseni
sehemu yoyote atakayopangiwa na trafiki ndani ya masaa 72
na si vinginevyo. Usipowasilisha watatumia details za gari
kukutafuta na ukikamatwa sasa hilo ni kosa.
kama wanakuzingua omba namba ya kamanda Mpinga.

Labda kama umewatolea lugha mbaya hiyo
ni kosa la jinai lakini kusahau leseni
siyo kosa kivile.
Kopi zote lazima ziwe satified na ofisa wa TRA
siyo unajitolea kopi hata ile ya kadi ya gari
lazima ithibitishwe na TRA.
good tunataka watu wenye majibu ya kueleimisha kama wewe,,,sio watu wanajibu taarabu tu,,,barikiwa nimepata somo...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom