VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,611
- 13,175
CCM ni chama chenye dhamana kubwa katika historia ya Taifa letu.
Iweje Mkakati wa kujenga chama,zitumike mbinu duni za kijima,zisizo na ubunifu zenye lengo ovu kubomoa umoja na ustawi wa taifa letu,mfano kununua na kushawishi viongozi wajiuzulu nyazifa?!;Kwa garama ya umoja wa taifa letu?!Kwa fedha na rasilimali za taifa?! Bila aibu waloanza madiwani wachache sasa wabunge; Mkakati ovu wa kijima kuua CUF; Kweli tunadharau chaguzi kwa ubabe,fitina za wazi?!
CCM imara yenye weledi tunaihitaji bado,NEC CCM, mnapotoa baraka kwa viongozi wenye mikakati duni,mnadhalilisha chama na Taifa,semeni hapana!
Mzuieni polepole na genge lake waache,haina tija na afya kwa Taifa! Najisikia aibu na fedheha kama Mtanzania leo taifa la 50... uhuru,mikakati ya kijima?!Wenye mapenzi mema na Tanzania tusinyamaze!Shame on them! Bomu mnalolipika soon litawalipukia,shida yangu,madhara ya bomu ni mtambuka,mjitambue