Nauliza tu, labda humu wapo walio na majibu mazuri kuliko wale waliopo kwenye mamlaka husika.
Kwamba, kwa kipindi kirefu kumekuwa na vurugu mechi kweye hii mifuko ya jamii.
Mfuko wa LAPF umekuwa...
Kenya na Rwanda hakuna kitu ambacbo mgeni atapata hata wakiruhusiwa kwenda huko bila visa. Kenya na Rwanda kila kitu kina mwenyewe, sio kama Tanzania kila kitu ni mali ya serikali. Bei ya...
Nina safari ya zaidi ya 6 months, kwangu naweza kumwachia dada yangu akae while am gone, ila siwezi kumwachia ndinga yangu kabsaa maana namjua, sina ndugu mwingne town hapa wa kumwachia, je kuna...
Vilio, Simanzi na Majonzi makubwa yametawala jioni hii katika Wilaya ya Ngara, Mkoani Kagera ktk Kijiji cha Murusagamba, baada ya kutokea kwa vifo vya Watu watatu.
Vifo hivyo vinahusishwa na...
Kwa mfano kuna beat naisikia redio tumaini sasa hivi kwenye kipindi cha kumbukumbu za kihistoria naipenda sana msaada please. kama nawe unahitaji weka yako hapa usaidiwe...
Kwa miaka mingi njia ya majadiliano ya hoja zinazokinzana maarufu kama 'debate' imekuwa ni kivutio kikubwa kwa wasikilizaji, sio tu kwa mada zinazojadiliwa bali hata kwa namna na mtindo wa...
Jamani nimetumiwa msg hii ->
(((
YOUR CELL NO.HAS WON YOU £850,000 IN D ONGOING 2017 COCA COLA MOBILE DRAW IN UK,TO CLAIM; SEND YOUR NAME,AGE & NUMBER TO: cocaukpa@outlook.com.
)))
Namba...
Zoezi la kukamata Cd,Dvd kwaa maana kwamba feki linaathiri uchumi wa vijana kwa kukamata mali zao ,serekali ichunguze vizuri ,tatizo sio cd fake tatizo ni juu ya tafsri ya filamu hizo, kwa kuwa...
Kwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
ITV LEO MMEONESHA MALALAMIKO YA WACHIMBAJI WADOGO MKOA WA GEITA NADHANI NI MBOGWE, NAULIZA KIJANA ALIEKUWA ANANYESHEWA MVUA ALIKUWA NI BUBU HUKU AKIMSUBILI MKUU WA MKOA?KAMA ALIKUWA ANAONGEA...
Helo,
Mimi sio mtaalamu wala mjuzi wa mambo ya saikolojia,
Ila nnaloandika ni kama hoja nijifunze.
Ni kawaida katika hizi social nets kuona badhi ya member tunaweka picha ama zetu ama kitu...
Wadau,
Utafiti wa Chuo Kikuu London kwa kushirikisha kituo kimoja cha ushauri wa afya Ghana umegundua kuwa madaktari wengi wa nchi za kusini mwa Afrika wanekuwa wakizidisha dawa kwa wagonjwa...
Salaam wakuu
Walokole wenzangu, Bwana asifiwe na hongeleni kwa ibada za kukanyaga mafuta, kupanda na kuvuna na ibada za kufunguliwa kutoka kwenye vifungo mbali mbali.
Kuna kitu leo ntaomba...
VODACOM walifika hapa mwaka 2000 wakiwa hawana mteja hata mmoja na kwa mtaji wao wakapanga kwenye jengo lenye status kuliko majengo yote hapa nchini likiitwa PPF Tower lililoko kwenye kona ya mtaa...
Wadau nimeona niwaletee hii tusafishe macho kidogo,
Swali langu ni je! mzee wetu bakhresa huwa anatumia mashine kama hizi kututengenezea zile lamba lamba zetu??
Source: My youtube Chanel >>watafak