Kuna uwezekano profile picture za JF zinajenga dhana ya kweli kisaikolojia

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Helo,

Mimi sio mtaalamu wala mjuzi wa mambo ya saikolojia,

Ila nnaloandika ni kama hoja nijifunze.

Ni kawaida katika hizi social nets kuona badhi ya member tunaweka picha ama zetu ama kitu chochote.

Picha hizo zinakuwa na mwitikio fulani katika fikra za mtu.

Hapa Jf vipicha vingi si halisi/vya muhusika kiuhalisia.

Ila vimekuwa na mguso sana katika hisia za watu tofauti tofauti (wanachama)

Naomba nitoe mfano, vipicha vya members wa kike kama vile Maserati, kapeace, princesses ariana, shunie, espy, Inah, miss natafuta, nk

Vimekuwa vikiwadatisha watu.

Hata mimi nkiona tu comment zao napata ka msisimko fulani. Na like tuu ata kama si jambo lamuhimu (ka weakness haka kila mtu anako bhana) anyway

Ila kama wangeweka mapicha kama yangu ni hakika ningekuwa normal tu.

Wapo pia members wenye ID photo nzuri kuzidi hao pia (males) i.e akina D Kisandu, Gudume, Natoka hapa Nk

Wanawake pia huenda wanavutiwa na zimewakaa sana kichwani picha hizo zikijenga uhalisia (kwa mfano fikiria kama kuna member unamkubali sana alafu humjui kwa sura, picha gani itakujia hata ukichati nae PM?

Ok, ni kamtazamo tu wakuu.
 
Kweli ili upande Karanga zilizo kaangwa unahitaji kuandaa shamba lako karibu na shamba la jirani aliyepanda mbengu sahihi na bora ili mwisho wa siku usingizie kuwa jirani ndiye karoga karanga za shamba lako.

I hope all you get a point that I intends to make
 
Luna ukweli katika hili.

Profile Picture tunazoweka Mara nyingi huakisi muonekano na hata Tabia ya mtu.

Ingawa huwa si picha halisi za muhusika lakini ile hata ya yeye kuchagua picha Fulani na kuamua kuiweka kama Profile Ni uthibitisho kuwa amevutiwa na kuipenda picha husika.

Na hadi kufikia stage ya yeye kuipenda hiyo picha ni uthibitisho pia kuwa mtu mwenye tabia,mienendo na pengine hulka sasa na hiyo picha aliyoichagua.
 
Kabisa mkuu,

Japo mim nimeweka yakwangu kbisa.
 
Back
Top Bottom