Princemwalejr
JF-Expert Member
- Nov 9, 2017
- 496
- 492
Hili kanisa nimeliona Duomo, Milan Taliano huko.
Afu hyo chura ni ya mbantu mwenzetu kabisa
Mkuu unataka kuniambia huyo aliyepiga picha alishindwa kusimama mbele ya hyo chura ili tulione kanisa pekee?Waswahili bana mada ya kanisa chura ndio nini tena[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hili la Nyuma au la mbele?
zaidi ya mileniahapo Italy kuna makanisa yana miaka 300