CHA The GREAT
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 651
- 854
Kwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
Anga lipi unalozungumzia maana Dar es Salaam ni kubwa sana! isijekuwa umemuona Mbagala ukasema anga la Dar es Salaam...Kwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
kwa jinsi ulivyoandika tu, unaonekana kuna baadhi la level za elimu hujapitia, anyway ukanda wa pwani mwewe ni wengi mkuu, huwa wanapenda kula samaki, pamoja na viumbe wengine wadogo wadogo.Kwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
Santehuyo ndio yule wa clouds media
kwa jinsi ulivyoandika tu, unaonekana kuna baadhi la level za elimu hujapitia, anyway ukanda wa pwani mwewe ni wengi mkuu, huwa wanapenda kula samaki, pamoja na viumbe wengine wadogo wadogo.
Au ulihisi ni mwewe wa clouds tv? akija tena mpige manati umlete huku tumjadili!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanachafua nguo haoSijawahi kuona mwewe...kuna kunguru wa dar hawa wanabeba hadi chupi ukianika pambaff
Na wakipita pita juu heri kuwakwepa hawakawii kukudondoshea utumbo wa kuku kichwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanachafua nguo hao
simu imekuaribu sana kuinama,ulisha fuga hata kukuKwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
Ukianika nguo nikuchunga chunga kama mbuzi vileNa wakipita pita juu heri kuwakwepa hawakawii kukudondoshea utumbo wa kuku kichwani
Najaribu kukuelewaKwa zaidi ya wiki nimekuwa namuona ndege aina ya mwewe anga la Darisalama, hasa nyakati za asubuhi. Hivi huyu mwewe kurandaranda angani inamaanisha nini, au kuna mizoga sehemu?
afu wewe bana..... hao kunguru ni njaa ama wametumwa?Sijawahi kuona mwewe...kuna kunguru wa dar hawa wanabeba hadi chupi ukianika pambaff