Kutoka ukimbizini mpaka kuwa mtumishi wa umma ni lazima kwanza aikane kwa kiapo ile status aliyokuwa nayo hapo mwanzoNaomba niwaulize wanajf ,wakati Dr.slaa anatangazwa kuteuliwa kuwa balozi ,taarifa ya ikulu ilisema ataapishwa mpaka taratibu zikamilike,
Naomba kujua ni taratibu zipi
Mkuu kuna jambo tulitaka kujifunza ,sipo kiutaniNahisi taratibu hasa ni hizi...
1/Kurudisha nyuma umri wa Dr.Slaa ili uendane na cheo alichopewa.
2/Kumshawishi Mke wa Dr.Slaa amwachie huru Dr.Slaa.
3/Kuvunja mkataba wa Dr.Slaa na mmiliki wa Duka lililomwajiri kule Canada.
Fungu la kukosaNahisi taratibu hasa ni hizi...
1/Kurudisha nyuma umri wa Dr.Slaa ili uendane na cheo alichopewa.
2/Kumshawishi Mke wa Dr.Slaa amwachie huru Dr.Slaa.
3/Kuvunja mkataba wa Dr.Slaa na mmiliki wa Duka lililomwajiri kule Canada.
Vatican never!Anatakiwa aende luwakilisha serikali Vatican. Utaratibu ni kuwa hatakiwi kuwa na mke. Yeye anao wawili!
Umejuaje kama ni vatican