Utapeli wa mitandao umenikuta tena

Hazali

Member
Jun 14, 2017
7
0
Jamani nimetumiwa msg hii ->
(((
YOUR CELL NO.HAS WON YOU £850,000 IN D ONGOING 2017 COCA COLA MOBILE DRAW IN UK,TO CLAIM; SEND YOUR NAME,AGE & NUMBER TO: cocaukpa@outlook.com.
)))
Namba wanayoitumia ni hii no. +255620676309
NI MATAPELI.
 
Alaf wajinga wakufikiri wanatumia account ya kawaida .com si upumbabu huu.
 
Watu wa nje km magharibi wao wanatumia za makampuni. Mpk ugundue ni pale unaposhikwa mkono.
Nitatuma msg za matapeli wambele wana mitandao mikubwa mno kuliko hapa kwetu Tanzania.
 
Hao jamaa wapuuzi kweli......kwa wengine wanasema Pepsi Mara Nokia.

Siku hizi hakuna natapeli kabisa hapa hata mtoto wa darasa la kwanza humkamati.


Unashinda UK namba inayokutumia msg ni ya Tanzania.......halafu toka lini mtu akashinda bila kushiriki?
 
a438ce8eb9cb250e4b2e6ad72a97354a.jpg
 
Jamani nimetumiwa msg hii ->
(((
YOUR CELL NO.HAS WON YOU £850,000 IN D ONGOING 2017 COCA COLA MOBILE DRAW IN UK,TO CLAIM; SEND YOUR NAME,AGE & NUMBER TO: cocaukpa@outlook.com.
)))
Namba wanayoitumia ni hii no. +255620676309
NI MATAPELI.

Msg nyingine hiyo
.......
YOUR CELL NO.HAS WON YOU £850,000 IN D ONGOING 2017 PEPSI MOBILE DRAW IN UK,TO CLAIM; SEND YOUR NAME,AGE & NUMBER TO: pepsicsms@outlook.com
 
Nimetumiwa pia nikashangaa kwanini matapeli wanatumia akili ndogo namna hii.
Nchi imekosa hata matapeli wenye akili.
YOUR CELL NO.HAS WON YOU £850,000 IN D ONGOING 2017 COCA COLA MOBILE DRAW IN UK,TO CLAIM; SEND YOUR NAME,AGE & NUMBER TO: cocaukm@live.com
 
Mkuu sisi tunaokesha na mitandao yan tumekuwa nayo tangu zama za shiva jerojero izo mambo tushazishtukia yan wiz wa mtandao hawanipati japo shopping online ndio Tabia pendwa kwangu....Ukishawafaham na kuzifaham sheria salama wala hupati tabu
 
Back
Top Bottom