Msaada ilipo ofisi ya mbunge wa zamani wa Temeke, Abbas Mtemvu

jombaa askari

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
491
523
Wakuu habari za saa hizi

Mwenye uelewa wa ofisi yake ilipo inayoshughulika na kuwatafutia watu kazi ughaibun anisaidie tafadhali....
 
Kwa Sasa umechelewa intake kubwa ya Watu 200 inaondoka January Hii

Ofisi yake ipo mitaa ya Chang'ombe

wanaihitajika

Madereva not above 35 age
Wapishi na sales man

Hata hivyo Mshahara wake sio Mkubwa sana ni 1.2M uki convert kwenda kwenye pesa ya Magu!
 
Back
Top Bottom