mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 94
Habari zenu wakuu.
Nina swali naomba wajuvi wanidadavulie.
Nimesikia wahanga wa benki zilizofilisiwa wanaweza kurudishiwa kiasi chini ya 1.5m kutoka kwenye benki ya amana.
JE UTARATIBU UKOJE?
Nina ndugu yangu ni mmoja wa wahanga leo hii ameenda amana bank na barua pamoja na vielelezo vya akaunti yake kutoka benki iliyofilisiwa ameambiwa amana bank hawana taarifa hizo.
Hebu wanaojua utaratibu wa kuzipata izo 1.5m watoe mtiririko hapa ili wawasaidie wahanga wajue wanaanzia wapi na kuishia wapi