Matumizi yangu ya Mil..5

Matumizi yangu ya Mil..5

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,348
Reaction score
83,312
Baada yakujibana mwaka mzima Nilifanikiwa kusave mil 5...kwa mwaka wote 2017 ...hii nimeisave ..kitokana na shughuli zangu za building construction ambapo kwa wiki uwa nalipwa sh..laki mbili..

sasa baada yakutafakali hii hela yangu niifanyie nn nimeamua kununua shamba heka 6 huko Bukoba ambapo ni nyumbani kwetu ..nilipomaliza kununua ..Nimeona nichukue heka 2 nipande Migomba na heka 4 zinazobaki ...nimeamua kutoa heka 1 kupanda mipara chichi na heka 3 nimepanda (Mipein) .

Sahivi nimesharudi dar niko naendelea na kazi...
Naamin Mungu akipenda baada ya mwaka mmoja na nusu ntakuwa nimeanza kuvuna ndiz kwaiyo tatizo la njaa ntakuwa nimelipungunza kwa asilimia kazaa.
Huku nikiwa nasubir Mipein yangu ikuwe na Miparachichi yangu ..Mungu nisaidie..
 
Vizuri sana wa kijijini. Ubarikiwe kazi za mikono yako.
 
Kuzaa sio kazi kazi ni kulea.
Kupanda sio kazi kazi ni kupalilia, mbolea, dawa za wadudu/ wanyama/ magonjwa, ulinzi, nk. Na kwa umbali huo wa dar-bukoba, utakuwa unaliwa pesa zako tu unazotuma.
 
Uwekezaji wa kijijini kwetu huwa siutaki kbs maana tija yake inakuwa ndogo sn.
 
Back
Top Bottom