PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Napata ukakasi kukubaliana na dhana ambayo hivi sasa imekuwa kubwa ya matangazo na promotion kubwa sana katika vyombo vya habari juu ya michezo ya kubahatisha.
Uhamasishaji huu mkubwa ukiwaaminisha watu njia ya kujikwamua ni kucheza michezo hiyo huku ikiwahusisha hadi viongozi wa Serikali tena ngazi za chini hadi juubwakati wa kukabidhi zawad, je tunajenga kizazi chenye kuamini kuwa maendeleo ya mtu ni mchakato ,au ni bahati?
Kwa nchi zilizopiga hatua sana,matangazo kama haya yana muda maalumu ,hasa usiku,lakini kwetu imekuwa kama ndiyo njia iliyo sahihi kabisa ya kupiga hatua kimaendeleo.
Napita tu.