Kama Mwananchi na Mtanzania riba inayotozwa na Mabenki hapa nchini kwa wananchi ni KUBWA SANA. Mfano hai mtu anapokopa anatakiwa kulipa riba ya 19% mpaka 22% wakati mwananchi huyo huyo akiweka...
Awali ya yote napenda kumpa pongezi kubwa Mh Rais kwa kazi nzuri sana anayoifanya hapa nchini,sitazungumza sana mazuri mengi kwa kua sikuja kuyasema hayo kwa leo,nipo hapa kutoa maombi kwake na...
Kwa muda mrefu kibamia limekua neno la huzuni kwa wanaume. Ukiambiwa au usiambiwe bado hilo neno hutokea. Ukipata zigo ukala ukahisi halifurahii moja ya wazo huwa labda ni kibamia... mijadala ya...
Mwanzoni mwa mwezi huu niliweka uzi wa kutaka kujua watoto waliopotea kibiti na hawajulikani waliko lakini aidha uzi haukuload sawasawa au uliondolewa.
Kwa walio karibu na Siro au Kibiti...
Tusiilaumu Serikali ya ccm kwa kukandamiza haki na kutumia polisi kujiimarisha kwenye Dola , hii ndiyo hali ya Dunia sasa hivi Watawala hawatakiwi na ina bakia kutumia nguvu tu.
Hapa chini...
Wachina pamoja na kula vyakula vingi vya ajabu kama nyoka,mende na punda.Hii tabia yao ya kumpasua mbwa mwenye mimba ili eti watoe watoto kwa ajili ya kitoweo inatia kichefu chefu.Wao wanaamini...
Siri tajwa hapo juu inahusika
Kwa kawaida kila mtu hupenda rangi fulani sana kuliko nyingine, inaea kua moja tuu ukatosheka au zaid ya moja, Museveni kwa miaka mingi amekua akivutiwa sana na...
Natumaini wote mko salama, kama nlivyosema hapo juu, naomba kujua mtandao wa smart hivi bado upo na kama upo ofisi zao zipo wapi kwa hapa DSM? nahitaji laini yao.
Mwaka 1995 Bukoba
Mpango wa kufungua Bukoba University Chini ya Askofu wa KKKT figisu zilitoka kwa meya wa mji wa kipindi hicho na baadhi ya watu wanaojifanya wanafundisha Middlesbough University...
natumaini wazima .
Ndugu zangu kuna mtu kanifata kuniomba nimsaidie kuandika barua ya udhamini wa kipindi cha television sasa kiukweli ni uzoefu mpya kabisa kwangu ila nafahamu hapa kuna watu...
UJENZI wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JKIA), Terminal 3 hadi sasa umefikia asilimia 67 huku ukitarajiwa kukamilika Septemba mwakani na hivyo kuwezesha zaidi ya abiria milioni...
Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu Mkazi wa Kijiji cha Itenka, Wilaya ya Mpanda kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kukutwa na nyama ya kiboko zaidi ya kilo...
Serikali imeshauriwa kuharakisha upitishaji na utekelezaji wa mkakati wa kitaifa wa kuzuia unyanyasaji na mauaji ya wazee nchini utakaosaidia kuundwa kwa Baraza la Wazee na kujenga jamii...
nimatumaini yangu kuwa hamjambo wapendwa katika bwana, bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja yangu
Kama nilivoleta Uzi wangu wa kuwataka wana jf wanisaidie kwa mambo matatu ambayo...
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kitarungu Wilayani Serengeti, Thomas Marwa ametwangwa makonde na mwalimu mwenzake akiwa ofisini kwake.
Tukio hilo lilisababisha masomo na shughuli zingine...
Ifikapo Desemba 10 kila mwaka, dunia huadhimisha siku ya Azimio la Haki za Binadamu lililoasisiwa mwaka 1948 na kuwa tamko rasmi linaloainisha haki za msingi ambazo kila binadamu anatakiwa...
Mpendwa Waziri Mhe.Jenista Mhagama,
Nakusalimu katika uzalendo wa kulijenga taifa letu la Tanzania, ni matumaini yangu wewe ni mzima wa afya kimwili, kiroho na kiakili. Mungu azidi kukulinda na...