Polisi nchini Cyprus wanasema wanamshikilia raia mmoja wa Israel anayetuhumiwa kufanya biashara ya viungo vya binadam.
Moshe Harel amehusishwa kufanya biashara ya figo kwa matariji wa Israel...
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani Iringa zimesababisha kukatishwa ziara ya balozi wa Norway nchini balozi Hanne- Marie Kaarstad ambae ameshindwa kufika kwenye vijiji...
Habari za saa hizi wakuu.
Wakuu naomba mnitajie idara za maji zinazopatikana hapa dar es salaam na addresses zake nataka nipeleke barua kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (field)
NAIBU Waziri wa Mifungo na Uvuvi,Abdallah Ulega ameteketeza zana haramu katika Ziwa Victoria.Baadhi ya zana hizo zipo nyavu za Makila zilizounganishwa 21710 zenye macho madogo, makokolo ya Sangara...
Ni mdogo wangu kaajiriwa hivi mwaka Jana October 2017 kada ya afya. Analalamika mpaka leo MISHAHARA hakuna. Hivi kweli sera ya good Governance inatumika vizuri?
Miezi minne mtu yuko kijijini hana...
SHIRIKA la UN linaloshughulikia masuala ya Elimu, UNESCO limetakiwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kisiwani Pemba ili kuokoa kizazi kutokana na kukua kwa wimbi la kuingiliana kinyume cha maumbile...
Habari zenu wanajamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza ninapenda kumzunguzia vipindi vya tv na redio ambavyo ni live kwa watazamaji au wasikilizaji.kumekuwa na either upotoshaji katika mada ambayo...
Hii tabia yake ya kudhalilisha wanawake wenzake ili ajijengee jina,haonekane eti ni mpambanaji....Apate wadhamini kisha atengeneze pesa,Joyce haiache.
Anawaanika wanawake kwenye tv,hivi ye hana...
Wao wameanzisha Uzi wao ukielezea Vituko vya mwananyamala Mwisho wa siku wamemalizia na Dar nzima kwa ujumla.
Na sisi wa mikoani Tulete vituko na matukio yetu ya Huko,
Kama,ubabe...
The list of bans imposed by Tanzania’s populist president just keeps growing
Abdi Latif Dahir
January 22, 2018
Tanzania’s populist president John Magufuli strode into office in late 2015...
Mdororo wa uchumi ni hatari ndugu zangu.
Nimejulishwa na mmoja wa wafanyakazi wa redio hiyo kutoka huko Kagera kuwa
Redio maarufu iitwayo Bukoba Radio Station (92.5) iliyoko wilaya ya Bukoba...
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Boniface mkazi wa Mwananyamala kwa Msisiri anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa kuiba masanduku ya kuzikia (majeneza) mawili (pichani)...
Habari ndugu, Kheri ya Mwaka mpya, Nilikuwa na ndugu zangu hapa tunarukaruka na kusherekea kuhusu mwaka huu mpya, ila ghafla nikajiwa na wazo kichwani ambalo kiuhalisia limeanza kuniumiza.
Je Mtu...
Wakuu, Habari za majukumu mbali mbali.
Kama unamfahamu huyu jamaa njoo inbox kuna ujumbe wake wa muhimu ili uweze kumfikishia.
Kuna mahali amesahau kitambulisho chake cha Uraia wa Tanzania Bara...
BAADHI ya majirani na polisi wa Kituo cha Polisi cha Mabatini jijini Dar, wameibuka na kudai kuwa kutokana mtaro uliopo kituoni hapo kufumuka na kutoa maji machafu ya chooni yakiambatana na...
Nmejitathmini maisha yangu na jinsi nilivyo busy kutafuta ugali nimegundua dhambi niliyonayo ni 1 tu ya uzinifu ila zingine sina kabisa.
Nashauri na nyie wakuu mjitathmini, kuna uwezekano...
KAMANDA WA POLISI MKOA WA GEITA, MPONJOLI LOTSON.
MJANE mkazi wa kijiji cha Kamhanga, wilaya na mkoa wa Geita amefariki dunia baada ya kukatwakatwa na panga kichwani na mwanaye usiku na kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.