Uandishi wa barua ya udhamini wa kipindi cha television.

MONA WA KYEN

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
340
500
natumaini wazima .
Ndugu zangu kuna mtu kanifata kuniomba nimsaidie kuandika barua ya udhamini wa kipindi cha television sasa kiukweli ni uzoefu mpya kabisa kwangu ila nafahamu hapa kuna watu walishapitia au wana ufahamu la hili waweze kunisadia formati na pia vitu gani vinatakiwa kuwepo kwenye hiyo barua ya udhamini.

Huyu mtu anataka kuanzisha kipindi katika television kinachohusu masuala ya uigizaji kitachukua takriban ni nusu saa hewani ila vituo vya televison alivyoenda kuomba vipindi walimwambia lazima awe na mdhamini. Natumaini npata msaada. Ahsanteni
 
Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
640
500
Eleza kwa ufupi muktadha wa kipindi chako, jina la kipindi, content kwa ufupi, sura yake (live ama recorded), mawsali muhimu juu ya concept note yako lazima ueleze mdhamini atanufaikaje? Hapa fafanua kuwa Kutakuwa na matangazo ya mdhamini mwanzo, katikati na mwisho wa kipindi, pia kutakuwa na matangazo ya kutambulisha kipindi kwa wiki mara kadhaa ambapo mdhamini atatangaza bidhaa zake, kutakuwa na miuro kwenye kuta za eneo la kuandalia kipindi zenye kutsambulisha mdhamini, vikombe mezani vya mahojiano vyenye alama ya mdhamini nk, pia eleza wewe unataka nini kwake?
1. Aghalimie production cost
2.Agharimie Air time cost
3.All promotion related activities
4.Upkeep cost za kundi naaamini vifaa tayari mnavyo!!
 
asante sana mkuu formt yake ikoje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom