Msaada: Nauli ya Dar Musoma, Luxury Bus

Msaada: Nauli ya Dar Musoma, Luxury Bus

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Naomba kujibiwa maana website ya Sumatra imeshindwa kunijibu viwango vilivyopo ni vya 2013 sijui afisa habari wao anakazi gani.
 
Mambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
 
Dar-Musoma kuna Osaka,princess muro na Jm bus ila kati ya hizo ni heri upande JM japo si luxury ni semi-luxury na nauli yake haifiki elfu60
 
Ina tsh 55000. mpaka mwanza ni tsh 45000. mwanza to musoma ni tsh 15000. Ukiongea na konda anaweza kukufanyia tsh 50000.
 
Ina tsh 55000. mpaka mwanza ni tsh 45000. mwanza to musoma ni tsh 15000. Ukiongea na konda anaweza kukufanyia tsh 50000.
Unajua hesabu kweli? Umesema Dar-Mwz 45,000 na Mwz-Musoma 15,000 hapo tayari 60,000 hiyo 55,000 inakujaje nje na punguzo ulolisema?
 
Kwa hiyo route gari ya uhakika ni JM. Ijaribu hiyo ufurahie safari.
 
Back
Top Bottom