britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,634
- 30,000
Mwaka 1995 Bukoba
Mpango wa kufungua Bukoba University Chini ya Askofu wa KKKT figisu zilitoka kwa meya wa mji wa kipindi hicho na baadhi ya watu wanaojifanya wanafundisha Middlesbough University Professor Muhumuza na Professor wa Bristol University Kachwamba Kwamba kwa mujibu wa vyuo vikuu hii haikidhi vigezo na wakasumbua sana mpaka mpango ukasitishwa.
Mwaka 2000 NA 2001 wakati wa ujenzi wa hotel ya WALK GUARD kule kashura kulizuka matata sana kwamba kiwanja si chake na kwamba atakuwa kaiba hela serikalini na wengine wakaenda mbali wakasema kwamba Mwanamziki wa zamani Justine Kalikawe kauwawa na mwenye hotel hiyo na kufanywa msukule hivyo watu wasimuunge mkono kumalizia ujenzi huo.
Mwaka 2005 akaja Khamis Kagahseki mzee wa busara, akaanza kurekebisha mji na kuuweka kwenye standard maneno yakaanza tena kwamba Kaiba hela ya WIPO akishirikiana na mtoto wa Kofii Annan ni hela ya watoto yatima ya kusaidia Africa kwamba Bwana Kaghasheki Swahiba na Koffi Junior
Mipango mingi ikaingiliwa na wanafiki mpaka akshindwa kukabili matatizo yote ya wanakagera.
Mzee Rugemalila kataka kufungua Hospitali kubwa. Wanashangilia sasa hivi kwamba ngoja aonje umasikini na yeye, mtu alijitolea kujenga hospitali ya kimatifa lakin mnashangilia kukamatwa kwake.