Wachina sasa hii sifa-chakula chenu kimenishinda

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
2,232
Reaction score
2,493
Wachina pamoja na kula vyakula vingi vya ajabu kama nyoka,mende na punda.Hii tabia yao ya kumpasua mbwa mwenye mimba ili eti watoe watoto kwa ajili ya kitoweo inatia kichefu chefu.Wao wanaamini kuwa nyama ya vitoto vya mbwa vilivyomo tumboni mwa mama yake vina radha nzuri na chembechembe zinazoweza kumsaidia binadamu kujikinga na baadhi ya magonjwa.kwa huu utaratibu wa wachina kula kila kitu sijui kama mimi nitaamini nyama yeyote nikiwa kwao na nikaila.Ni afadhali labda kula mboga za majani tu.sijui wenzetu mnaoenda kufanya biashara huko china uzoefu wenu wa chakula huko upoje? huwa mnakula nini?
dog meat-mimba.jpg
Dogs-and-Cat-Meat-Market.jpg
 
Siti ya kwanza. Hiyo picha tu wame photo shop.... Nenda Sichuan China.... Msosi mtamu balaaa
 
Mhhh...sijawahi ona wala sikia hii,ni hatare kama ni hivyo
 
Wachina pamoja na kula vyakula vingi vya ajabu kama nyoka,mende na punda.Hii tabia yao ya kumpasua mbwa mwenye mimba ili eti watoe watoto kwa ajili ya kitoweo inatia kichefu chefu.Wao wanaamini kuwa nyama ya vitoto vya mbwa vilivyomo tumboni mwa mama yake vina radha nzuri na chembechembe zinazoweza kumsaidia binadamu kujikinga na baadhi ya magonjwa.kwa huu utaratibu wa wachina kula kila kitu sijui kama mimi nitaamini nyama yeyote nikiwa kwao na nikaila.Ni afadhali labda kula mboga za majani tu.sijui wenzetu mnaoenda kufanya biashara huko china uzoefu wenu wa chakula huko upoje? huwa mnakula nini?
View attachment 646482 View attachment 646485
Doggy Dogg World
 
Msiwapuuze !! uzembe wenu wa kutafakari, mila zenu ambazo hazijawafikisha popote zaidi ya kuwaletea umaskini, dini mlizoletewa na wageni mkaacha kula vitu ambavyo vingewafanya muishi maisha marefu na k uwa na akili nyingi. Ninyi wachekeni tuu mtaendelea kutumia kila kitu MADE IN CHINA. kwa maana wao vyakula wanavyokula vinawapa uwezo mkubwa wa kufikiri.Ninyi endeleeni na miiko yenu ya kabila na dini
 
China bwana! Eti kitimoto ndio nyama ya gharama zaidi na huliwa na wenye pesa!!
 
ulishawahi kula nyama ukiwa huko.mimi hata nikae hulp miaka kumi labda nione kwa macho yangu wanachinja kuku nio nitakula.wali na spaghetti/noddles sawa nitakula
Nilijaribu mara ya kwanza nilitapika restaurant baada tu ya kula mara ya pili nilipoteza funguo ndipo niliposurrender
 
Msiwapuuze !! uzembe wenu wa kutafakari, mila zenu ambazo hazijawafikisha popote zaidi ya kuwaletea umaskini, dini mlizoletewa na wageni mkaacha kula vitu ambavyo vingewafanya muishi maisha marefu na k uwa na akili nyingi. Ninyi wachekeni tuu mtaendelea kutumia kila kitu MADE IN CHINA. kwa maana wao vyakula wanavyokula vinawapa uwezo mkubwa wa kufikiri.Ninyi endeleeni na miiko yenu ya kabila na dini
Halafu tunakataa kula hawa wanyama halafu tunakunywa dawa kutoka kwao ambazo hatujui wametengenezea nini? labda wametumia hawa hawa wadudu! angalia supu ya nyoka hiyo
snake soup1.jpg
 
KWA UJINGA WETU HIZI ZOTE MBOGA TUNAZIACHA TU!! AU NDIO MAANA AKILI ZETU BADO NI 2G WENGINE.WACHINA WANATANDIKA ZOTE HIZI NYOKA CHOMA, NYOKA MCUZI NA SUPU YA
snake soup1.jpg
NYOKA
snake nyama choma.jpg
snake meat2.jpg
 
Kama huwa unakula soseji basi jua umeahakula sana hizo nyama zikiwemo za chatu na vyura
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom