Kwa muda mrefu kibamia limekua neno la huzuni kwa wanaume. Ukiambiwa au usiambiwe bado hilo neno hutokea. Ukipata zigo ukala ukahisi halifurahii moja ya wazo huwa labda ni kibamia... mijadala ya kibabia imekuwa mingi sana... niseme kwamba jibu ambalo nimekuwa nalikubali ni kwamba kibamia ni relative term. Kibamia kwako ni hogo kwa mwingine and kinyume chake...
Ujio wa expansion joint nalihalalisha kwenye mjadala wa kibamia. ambaye atakuambia unakibamia maana yake ana "expansion joint" kubwa ambayo anahisi ya kawaida.
weekend njema.
Ujio wa expansion joint nalihalalisha kwenye mjadala wa kibamia. ambaye atakuambia unakibamia maana yake ana "expansion joint" kubwa ambayo anahisi ya kawaida.
weekend njema.