Nilikuwa nahitaji kuonana na Makamu mkuu wa Chuo. Baada ya kuonana na Secretary wake utaratibu ukawa hivi.
Secretary anaingia kwa makamu mkuu wa chuo halafu anarudi na kuniuliza
"anasema...
*WAJIBU WA DEREVA KWA ABIRIA WAKE*
*Je, ni upi wajibu wa dereva kwa abiria* au kwa lugha nyingine dereva ana wajibu kwa watu wa ngapi? Labda tuanza na swali hili.
*Watu ambao dereva anawajibika...
Habarini,
Tabia ya TRA kujumlisha kodi ya 10% kaajili ya kodi ya pango la biashara kwa mfanyabiashara wakati makadilio ya kodi ni uonevu kwakweli.
Wanakwambia leta mkataba wa pango la biashara...
Pamoja kuwa stand hiyo ni kubwa na muhimu kwani inahudumia abiria wengi sana standi haina hadhi kabisa kwanza mazingira ni machafu sana inanuka mikojo inaonekana watu wanajisaidia haja ndogo hapo...
Chama cha wasafirishaji abiria TABOA kimeazimia kuonana na Rais Magufuli ili kupeleka kilio chao kuhusu sheria mpya iliyopandisha maradufu faini za makosa ya barabarani.
Wamedai sheria hiyo mpya...
Mwanamke anayejulikana kwa jina la Verediana Paschal, mkazi wa Kisimiri mkoani Mwanza ameenda hospitali na kuomba kujifungua kopo.
Madaktari/wauguzi walishangaa sana na kutaka kumpima lakini...
Dar es Salaam, January 2018: Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro has been named the winner of the 2017 national competition for health and environmental cleanliness which was held by the...
Arusha: Mawasiliano ya barabara inayounganisha Wilaya za Monduli na Karatu katika eneo la Makuyuni imekatika kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo.
Hakuna gari inayoweza kutoka...
Wafanyabiashara wawili, Antonia Zacharia na Timoth Kilumile wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza, kwa kosa la uhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh bilioni 10 kwa kujipatia...
Mamlaka ya maji safi na maji taka jiiji Dar Es Salaam imesema imepokea majeruhi watano waliounguzwa na moto uliosababishwa na kupasuka kwa bomba la gesi eneo la Buguruni kwa Mnyamani wakati...
Madaktari wameonya kwamba kuzuia kupiga chafya kwa kufunga pua na mdomo kunaweza kukusababishia madhara makubwa.
Hii inajiri baada ya madaktari mjini Leicester kumtibu mtu mwenye umri wa miaka 34...
Hello Wana JF natumaini mnaendelea vizuri na ujenzi wa taifa .
Naomba msaada Kwa mtu anayejua namna ya kutoka Arusha mpaka kigoma natumia usafiri wa private .Gari ninayotumia Ni Landcruase Prado...
Ndugu wanajamvi,
Kwa yeyote mwenye kufahamu umbali wa kutoka Dar kwenda Mwanza kwa njia ya barabara anifahamishe, maana nataka nifahamu ili niweze kutenga bajeti nzuri ya mafuta kwani sijawahi...
Ajali imetokea usiku wa kuamkia leo.Chanzo cha ajali inasemekana ni mwendo wa dereva wa lori hilo la mafuta ambaye alikuwa kwenye mwendo mkali kuelekea kwenye daraja hilo ambalo ni jembamba lenye...
TANGAZO
St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.
Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2...
TANGAZO
St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.
Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2...
TANGAZO
St. Raphael Secondary school, inawatangazia nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza kwa mwaka huu 2018.
Kwa nini St. Raphael?
1. Ipo chini ya Jimbo katoliko Ifakara Morogoro
2...
Wadau,
Kuna Bahati Nasibu mpya imeingia inaitwa TATU MZUKA. Sina uhakika ni kampuni gani hasa inayochezesha hii Bahati Nasibu ila kila nikiiangalia uchezeshaji wake naona kabisa kuna kitu hakiko...
Naomba msaada wana jf wa guest za kulala naenda tabora chuo cha utumishi wa umma nipo kwenye muro na tabora ndo Mara ya 1 kufika, kama kuna MTU anajua guest ya kulala kuanzia 15-20 unaweza ukani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.