Kwa vijana wote

Kwa vijana wote

ferrocyanide

Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
86
Reaction score
41
Vijana Kama hatuta Tumia platform hii (JF ) ku discuss issues za kujenga akili zetu na kujenga nchi yetu , hatutapata nafasii pengine.
Wengi humu ni wasomi tusilete mada za hovyo .
Tutumie nafasi hii ku uliza kujua mambo tusiyo yajua na kuwaelimisha watu mambo tunayo yajua.
Asanteni
 
unahabari kuwa tabia inashinda elimu..?
so wengine wanajadili tabia/hisia so kunasehemu kunatatizo!
lkn kujadili tu si tija bali viende sambamba na utendaji
 
Back
Top Bottom