barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Habari zenu! Samahanini, naombeni kujua ni wapi hapa Tanzania wanaruka Bunjee Jumping, yale mambo ya adventure!! Ile unafungwa kamba mguuni kisha unajitupa chini mahali penye kina kirefu. Ajuaye naomba anijuze! Mi nipo Dar.