R Rugela Member Joined Jan 11, 2017 Posts 29 Reaction score 25 Dec 11, 2017 #1 Kuna mtu anapita anatangaza mtaani kuwa ananunua silver mbovu pamoja na dollar, je anakwenda kuzifanyia shughuli gani hizo pesa mbovu?
Kuna mtu anapita anatangaza mtaani kuwa ananunua silver mbovu pamoja na dollar, je anakwenda kuzifanyia shughuli gani hizo pesa mbovu?
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Dec 11, 2017 #2 Anakwenda bank kuu kupewa hela mpya ila thamani ya pesa inabaki ile ile
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,306 Reaction score 38,511 Dec 11, 2017 #3 Rugela said: Kuna mtu anapita anatangaza mtaani kuwa ananunua silver mbovu pamoja na dollar,je anakwenda kuzifanyia shughuli gani hizo pesa mbovu Click to expand... Anakwenda BOT anabadilishiwa nzima bila makato yoyote.
Rugela said: Kuna mtu anapita anatangaza mtaani kuwa ananunua silver mbovu pamoja na dollar,je anakwenda kuzifanyia shughuli gani hizo pesa mbovu Click to expand... Anakwenda BOT anabadilishiwa nzima bila makato yoyote.