Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama unataka kukuza imani yako ya kuamini , ongeza uwezo wa kumjua Mungu , soma maarifa ya Mungu . Mtu anaamini kwa kujua Ikiwemo kusikia .... Sasa umekosa kuamini kwa sababu ya kukosa maarifa ya...
0 Reactions
2 Replies
977 Views
Kwa wale wanaotaka kusafiri kwenda moshi au arusha watafute means nyingine..nimetoka ubungo kukata tiketi ya tarehe 22 au 23 nimekosa kabisa..kila ofis utakayoingia bus zimejaa hadi tareh 26...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Dunia hii tunaishi katika effect yaani vyote tunavyoviona ni matokeo . Ukiwa mjinga utaanza kudeal na Matokeo badala ya kuangalia sababu . Mtu yeyote aliyezaliwa , amezaliwa kwa sababu ...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Kumekuwa na kawaida ya kutoziona maiti za paka pale wanakufa, ila pia paka amekuwa akihusishwa sana na imani mbalimbali za kishirikina ikiwemo kutumiwa na waganga na wachawi Ila inapokuja swala...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Wakuu kwa sasa Serengeti lite ndio habari ya mjini, imekuja kipindi muhimu sana ambacho mifuko ya wengi haiko poa. Kidogo inatupunguzia gharama ya kunywa Windhoek na Heineken kwakuwa hii bei yake...
8 Reactions
53 Replies
14K Views
Ukiwa na bima hapa ni shida nimeitwa kuingia kwa daktari akaja mgonjwa nyuma yangu na fail mhudumu kamruhusu mie kaniacha pale aliponiita awali
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Mnaeza mkawa mmezidiwa sana na idadi ya wagonjwa, lakini isiwe sababu ya kutokea kwa uzembe wa hatari ambao unaweza ukahatarisha maisha ya watu. Kumekuwa na mchezo wa siku nyingi kwenye maabara...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Habarini Wana JamiiForums wenzangu, old school, mid school Na new school. Dhumuni la Uzi huu ni kukumbushana vitu ambavyo viko nyuma ya chakula. CHAKULA HUFUNGUA MOYO. Unamtaka demu mkali...
12 Reactions
71 Replies
7K Views
Hivi Rungwe Ocean Resort inamilikiwa na nani? Why imekufa? Na next to it kuna Marina beach resort, nani pia mmiliki? Why zipo katika hali ile? zinauzwa? au?
1 Reactions
38 Replies
15K Views
Wakulima wa korosho ktk nchi hii inayowajali na kuwasimamia wanyonge wananyanyasika ktk kupokea malipo ya korosho zao walizouza kiasi ambacho iko wazi mazingira ya dhuluma dhidi yao yanaandaliwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui Nyerere alikuwa anawaza nini kuchagua Dodoma, angalau hata angeenda mbele kidogo na kuchagua Singida pale kuna Ziwa Singida, au angeingia my favoutite city in TZ Iringa kuna mto Ruaha, sasa...
3 Reactions
129 Replies
21K Views
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema tatizo la ukosefu wa ajiri nchini limepungua. Mkurugenzi wa Shughuli za Takwimu, NBS Irineus Ruyoby amesema kwa mujibu wa takwimu walizonazo kwa sasa...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Habari za siku humu jukwaani. Watu saba wafariki hapo hapo na wengine kujeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Saratoga kugongana uso kwa uso na basi dogo aina ya hiace ktk kijiji cha kabeba mkoani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Kuna tukio nililifanya mwaka 2005 kila nikifikiria naona kama roho inaniuma na nikizingatia sijuzowea ule mchezo. Suala lenyewe ni kama ifuatavyo: Kuna gheto alikua anakaa...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Kama kwako uaminifu ni 0% subiri tu kufa maskini maana kama wewe ni Mfanyabiashara huna sifa yoyote ya kuwa mwaminifu subiri tu kufilisika hata kama unamtaji wa milioni 200
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada kwa anaeweza kunisaidia hili au ambae anajua hii inatokana na nini ni vizuri anishauri, Nimeanzisha biashara yangu ndogo ila cha kushangaza naweza kuchukua mzigo wa kuuza...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Habar zenu wadau, Kwa mujibu wa sheria na maagizo ni lazima kila ofisi ni jambo zuri lakini kwa nini picha hizi kwenye taasisi za umma wasingekuwa wanatoa bure? Picha za Rais inauzwa kuanzia Tsh...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu. Kwanza natoa pole kwa wanafamilia, ndugu na jamaa wa vijana wetu waliopoteza maisha huko kongo. Kwa kweli ni jambo la kusikitisha sana. Nimefanikiwa kuopata kuwafaham vijana kama 4...
10 Reactions
176 Replies
19K Views
Habari watumishi wa serikali, Je wajua kuwa! unaweza kupata taarifa zako za kiutumishi pamoja na salary slip yako kupitia simu yako ya mkononi? Ni rahisi sana cha kufanya tembelea official...
20 Reactions
101 Replies
33K Views
Ndugu zangu najua wote humu wengi tumepitia ajira so me ni mwl nimeajiliwa nimeomba ruhusa kwenda shule ila ofisa Elimu wangu hataki na ninahitaji sana kwenda kusomea afya nomefaya maamuzi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…