Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,649
- 3,818
Kumekuwa na kawaida ya kutoziona maiti za paka pale wanakufa, ila pia paka amekuwa akihusishwa sana na imani mbalimbali za kishirikina ikiwemo kutumiwa na waganga na wachawi
Ila inapokuja swala la kitoweo, Je mnyama huyu paka anaweza kuliwa nyama kama mbuzi au ng'ombe
Huyu jamaa hapa naona amejitengenezea machinjio yake ya paka, sa sijui anaenda kumla au vp