Ninaenda kusoma bila ruhusa

Ninaenda kusoma bila ruhusa

mzee wa magumashi

Senior Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
137
Reaction score
44
Ndugu zangu najua wote humu wengi tumepitia ajira so me ni mwl nimeajiliwa nimeomba ruhusa kwenda shule ila ofisa Elimu wangu hataki na ninahitaji sana kwenda kusomea afya nomefaya maamuzi ya kutoka bila taarifa.na pia nimekopa benk mshiko mrefu tu.ambao nategemea kwenda kuanzia shule.
Wan if naomben ushaur utapat hasara ipi lakin ikumbukwe kwamba natoka sector ya Elimu naenda AFYA.
 
Ukiachishwa kaz bila ruhusa, rejea post yako.
 
Usithubutu kufanya hicho unachotaka kufanya.. Utajiingiza ktk matatizo makubwa yatakayokuchukua muda kuyamaliza.Stick to your job.. Huo ndio mkate wako.. Wapo watu kibao wamesoma afya na hawana ajira.. Pesa ya mkopo iwekeze.. Ni bora ufungue hardware angalau hotokosa elfu ishirini hadi laki kwa siku kama biashara itachanganya.. Uzuri vifaa vya hardware haviozi wala havipitwi na fashen.. So hata usipouza hupatwi na stress kwamba vitaoza!
 
Unafikiri ukienda kwenye afya ndo utatusua,hayo ni mawazo ya baba zetu.Huo mkopo nunua ng'ombe watano wa maziwa huku ukiendelea kufundisha.Ukirudi jioni wakatie nyasi au wachunge mwenyewe,2023 tuletee mrejesho.hata Hugo afisa elimu atakuheshimu
 
Back
Top Bottom