Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
Kama kwako uaminifu ni 0% subiri tu kufa maskini maana kama wewe ni Mfanyabiashara huna sifa yoyote ya kuwa mwaminifu subiri tu kufilisika hata kama unamtaji wa milioni 200
Aisee kumbe m200 ni mtaji mkubwa sana kwa TanzaniaKama kwako uaminifu ni 0% subiri tu kufa maskini maana kama wewe ni Mfanyabiashara huna sifa yoyote ya kuwa mwaminifu subiri tu kufilisika hata kama unamtaji wa milioni 200
Oya mwana nitoe buku jero nikale.Aisee kumbe m200 ni mtaji mkubwa sana kwa Tanzania