incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,533
- 4,290
Wakuu naombeni msaada kwa anaeweza kunisaidia hili au ambae anajua hii inatokana na nini ni vizuri anishauri,
Nimeanzisha biashara yangu ndogo ila cha kushangaza naweza kuchukua mzigo wa kuuza elfu ishirini na nikaumaliza ndani ya masaa mawili au matatu maana huwa nazungusha ila cha ajabu nikifika nyumban najikuta mfukoni nina elfu mbili (2000) au elfu tatu (3000)
Bila kujua huwa hela inaenda wapi siwezi kusema kama ninapoteza hela maana mifuko yangu iko imara sana afu ukilinganisha kwanini zisipotee hela zote? Zinapungua? Tatzo hili limenitokea takriban siku tatu zilizopita na leo nikajaribu kuzungusha mzigo nikiwa makini sana nilichukuwa mzigo wa elfu kumi na baada ya kuumaliza ndani ya lisaa limoja nikarudi geto na kukagua hela nikajikuta nina elfu mbili mia saba (2700)
Wakuu naombeni Msaada wenu kwa anaejua anaweza kunisaidia namna ya kuthibiti hali hii,
Niko dodoma.