USIHANGAIKE NA MATOKEO

USIHANGAIKE NA MATOKEO

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,351
Reaction score
1,099
Dunia hii tunaishi katika effect yaani vyote tunavyoviona ni matokeo .

Ukiwa mjinga utaanza kudeal na Matokeo badala ya kuangalia sababu .

Mtu yeyote aliyezaliwa , amezaliwa kwa sababu , kuzaliwa kwako kunakuwa Marked na Matokeo.

Wengi wetu tunajua tumekuja duniani Tufurahie dunia na Mungu anapenda hilo na ndiyo maana anasema anatuwazia mema ( yeremia 29;11).

Synthetic happiness ndicho tunachotafuta yaani furaha ya matokeo mfano umepata gari , umefaulu mtihani , umeokota hela, umejenga nyumba, nk . lakini siku ukijua kusudi la kuishi kwako duniani unaweza ukawa umepata vyote na kuwa na furaha maisha yako yote .

Daima kumbuka unachohangaikia kitakuhangaisha, palipo na Baraka , ujue Baraka huyo ndiyo ana control mtiririko siyo juhudi zako.

Be inspired
 
Neno zuri huwa tunavikosa vitu adimu kama hivyo
 
Back
Top Bottom