Hivi Rungwe Ocean Resort inamilikiwa na nani?
why imekufa? na next to it kuna Marina beach resort nani pia mmiliki?
why zipo katika hali ile?
zinauzwa? au?
Ilikuwa Hoteli ya Wilfrem Mwakitwange. Mwanachama mwanzilishi wa Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture na chama cha siasa cha PONA. Mwakitwange alipofariki dunia aliacha Watoto ambao pengine ndio wenye stori kwa nini Hoteli imekufa. Isije kuwa in kosa katika SUCCESSION PLANNING katika family business. Ukikosea kufanya succession plan vizuri hayo ndo hutokea katika family business. Mtoto wake aliekuwa karibu sana na babake katika masuala ya Biashara anayo/alikuwa na ofisi mlango wa pili kushoto mwa OUTLET ya duka la ICE-CREAM la Bakhresa pale kwenye RoundAbout ya ila barabara nadhani inaitwa Ali Hassan ambayo inabeba Hideri Plaza kwa chini ukitokea DTV.
That is a very Sad business story na mimi binafsi nashindwa kuipokea vizuri taarifa hii. Businesses should never be allowed to die vifo vya aina hiyo.
kWAHIYO WATOTO WAPO HAI?
yaani ni kama ilipigwa bomu hii hoteli
Rose ndio msimamizi wa mirathi. She is a very good business planner sasa sijui kwa hili kumetokea nini. Nadhani kweli kutakua na problems within the family. The place is very potential and ideal for recreational facility kind of business
Rose yule maarufu?
alikuwa Habari cORPORATION?
huyu ni mtoto wa mzee Mwakitwange? huyu Rose?
Rose ndio msimamizi wa mirathi. She is a very good business planner sasa sijui kwa hili kumetokea nini. Nadhani kweli kutakua na problems within the family. The place is very potential and ideal for recreational facility kind of business
Ndiyo, humuoni alivyokuwa sharp kama baba yake!!Mwakitwange alimuendesha sana kifimbo enzi za ubunge wake ; wakiwa pamoja na mbunge toka Iringa Choga!!