Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 22,788
- 50,965
Wakuu kwa sasa Serengeti lite ndio habari ya mjini, imekuja kipindi muhimu sana ambacho mifuko ya wengi haiko poa. Kidogo inatupunguzia gharama ya kunywa Windhoek na Heineken kwakuwa hii bei yake ni ya wananchi yaani 1500 tu.
Asante sana kampuni ya SBL kwa kutujali wateja wenu
Asante sana kampuni ya SBL kwa kutujali wateja wenu