Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanasayansi wa Uingereza wanasema kuwa wanatengeneza dawa kwa watu wanaotafunwa na nyoka wenye sumu kali, katika nchi za Afrika kusini ya Sahara. Watafiti katika chuo kikuu cha matibabu ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana JF, Huenda Tabwe Hiza angepona au angefia hospitalini kama mkewe, watoto wake au mwanafamilia aliyeko pale nyumbani kwake siku ya tukio angekuwa anajua kuendesha gari. Tuwashirikishe watu...
4 Reactions
76 Replies
11K Views
1. TAIPAN WA ARDHINI: Nyoka huyu ni wa kwanza kuwa na sumu kali duniani, anaeishi ardhini tu. aking'ata kitu chochote hutoa sumu kiasa cha milligram110 iliyo na uwezo wa kuua binadamu 100 au...
2 Reactions
115 Replies
107K Views
JF kama jamvi la habari halina uhasama na wewe kamwe. JF ni sehemu tu ya kuwasilisha taarifa, maoni na matukio mbalimbali. Ndani ya JF wapo wastaarabu kama mimi ambao tunatoa hoja na mada bila...
15 Reactions
133 Replies
12K Views
Video ya tukio hili ilinaswa kwenye kamera za ulinzi, ambayo inaonyesha tarehe 30 Januari majambazi wakimvamia mtu akiwa ndio anataka kuingi nyumbani kwake, sijajua ni eno gani
1 Reactions
123 Replies
14K Views
Kila kukicha thamani ya shillingi ya Tanzania inapungua thamani dhidi ya dollar ya Kimarekani. Kulikoni?.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello JF Mimi naamini hili swala la kutoza kodi kwa kila mtu linatupoteza, hasa kwa wanaotaka kufungua business/viwanda vyao wenyewe. I must admit sijui utaratibu ukoje ila ningependa kuona tax...
1 Reactions
2 Replies
615 Views
Kwanza niwapongeze waliofanya Kazi ya kuhakiki majina ya wanaodai serikali yetu tukufu pamoja na mapungufu yanayoonekana kwenye Kazi hiyo ila ndio ubinadamu wenyewe. Nafikiri kabla ya kuikabidhi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Naomba mwenye Ufahamu Juu ya mfungwa aliyehukumiwa kifungo kisichozid miaka mitatu anatumia utaratibu upi kupata kifungo cha ...nje . Mfano kama Akina Baziri Mramba na Yona.. Mod...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Almost all of the rich kids have rich parents, or are in entertainment industry. However, there are few entrepreneurs. A Top 10 richest kids in the world: 10. Jaylen Bledsoe ($3.5 Million)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam sana wakuu. Kiukweli Geita si mwenyeji kabisa. Ila kama kuna mwana JF tupange kesho tule bata mahali .
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Mwezi February mwaka 1992, Michael Jackson alikuja Tanzania Alitua uwanja wa ndege wa Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa wakati huo, hayati Hassan Diria kisha...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Manyoni, Dk. Ainea Mlewa, alisema kwamba matukio yote yalitokea mapema wiki hii katika Kitongoji cha Waraka, Kijiji cha Lusilile, tarafa ya Kintinku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka jeshi la polisi nchini kuziachia pikipiki ambazo wamezishikilia kwa mda mrefu na zina makosa madogo waziachie na wasikae nazo kwa mda mrefu...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
habarini kuna mitandao mingine mingine ya simu ipo kama imerogwa na ni matapeli wa kutupwa..unakuta unazima data unazima kila kitu halafu unaweka vocha unakuta wamekula 40 au 50 ukiwapigia...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Wadau Pole kwa majukumu, Naomba tusaidiane hivi ni bati gani za kuezekea nyumba ambazo ni bora na ngumu???? Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Wadau hivi ile nauli ya mbwembwe ya FastJet ya 75,000 Tsh Mwanza -Dar ilishia wapi! Kuna watu humu walibisha nilipotoa rai kuwa these people can not maintain such a low fare and sustain their...
1 Reactions
51 Replies
26K Views
Hiki alichokifanya kww yule kiongozi wa dini kitakumbukwa kwa muda mrefu sana, japo yeye kazi yake kubwa ilikuwa ni kurusha tu hewani taarifa anazopokea toka kwa followers wake... Nimeshangazwa...
42 Reactions
175 Replies
17K Views
Habarini wana Jf Straight to the point: Leo ule msemo wa nilizani nimepata kumbe nipatikana umejidhihirisha kwangu...na sasa nmeamini usilo lijua ni kama usiku wa kiza.. Nikiwa nimetoka mishe...
5 Reactions
13 Replies
4K Views
Nimejaribu kwa mbali sana ' Kudukua ' mafunzo ya Makomandoo wa nchi za Pakistan, India, Uingereza, Marekani, Urusi, China na Israel na Kugundua mambo kadhaa ambayo huyapitia hasa wanapokuwa '...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom