Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Rahimu Haruni (30), mkazi wa mtaa Mwembesongo Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kupigwa na shoti ya umeme wakati akianika nguo kwenye waya...
1 Reactions
48 Replies
10K Views
Habari wanajukwaa, Mimi ni msomaji wa gazeti la kila jumapili la upendo. Kimsingi ni shuhuda wa uwelewa mdogo sana juu ya mambo mbali mbali ya kwenye jamii ulio ndani ya waandishi wa hili gazeti...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Zubairy bin Ally, ametaka viongozi wa dini nchini kuheshimiwa na jamii ikiwemo kutekeleza mahitaji yao ya msingi ili waweze kujikimu kimaisha. Akizungumza...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Yapata siku ya tatu leo bomba hazitoi maji. Tunaomba mamlaka husika watatue hili tatizo kwani dada zetu na akina mama wanapata tabu yakwenda mbali kutafuta maji. Tukiachana na hilo wenye watoto...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Igwe wanaJF Pamoja na umma kutokubaliana na gharama kubwa za matibabu ya Tundu huko Nairobi,sintofahamu imeendelea kuhusu kiasi kilichotumika kumtibu dereva wa Lissu ugonjwa wa kisaikolojia kwa...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Kwamba nchi ya Ubelgiji ndiyo nchi pekee iliyo na Madaktari hohehahe / wabovu kuliko nchi zingine zote za Ulaya? Na kwamba kuliko kumpeleka huko Mgonjwa ni kheri tu akatibiwe Muhimbili au KCMC au...
7 Reactions
94 Replies
8K Views
Maeneo mengi ya jiji LA Mbeya Mifugo haina utaratibu has a Ng'ombe na mbuzi.Mamlaka husika tafadhali zifanyekazi.
0 Reactions
3 Replies
885 Views
Habari wanajukwaa, Natumai mu wazima. Naomba kuanza kwa kusema sijaleta habari za uhakika kuhusu kitabu tajwa hapo juu, ili nimepata shauku ya kuleta uzi huu ili kupata habari na uelewa au kupata...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
Mnadhimu Mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu ambaye pia ni Rais wa chama cha mawakili Tanzania (TLS) amehojiwa na kipindi cha BBC-focus on Africa juu ya hali ya kisiasa nchini na...
13 Reactions
105 Replies
13K Views
Tundu Lissu anaenda kulazwa Ubelgiji nchi ambayo mwanasoka wa kimataifa wa kitanzania, Mbwana Samatta anacheza soka(mpira wa muguu). Swali ni je,mwanasoka huyu maarufu atakwenda kumuona...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Naomba niende kwenye pointi mimi kwa sasa nipo mkoani na ndipo yalipo makazi yangu, Dar hapo nimesomea na kuishi hapo kwani ndipo nilipokulia, . kuna tofauti kubwa sana kati ya vijana wa mkoani...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Habar zenu wadau naomba kwa mdau aliye na Mbao ambazo alitumia Kuezeka zikabaki nahitaji Mbao arobaini kwa yeyote aliye nazo anitafute kwa Namba hizi 0755156747 ninaishi Goba
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hakika nimeiona faida ya kuwa ktk jamii forum nimepata msaada mkubwa na bado naombeni ushauri zaidi Naombeni mnisaidie mchanganuo Wa kuezeka vyumba viwili idadi ya Mbao 2@2 ni ngapi 4@2 ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Direct to the point Nataka kuacha kazi serikalini, niko kwenye process za ajira mpya, taasisi binafsi katika mkoa mwingine . Ila nina mkopo unaondelea bank ya CRDB na makato mengine kama ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habarini wanajf Hatimaye tumeiona 2018 kwa kudra za Mwenyez Mungu. Nimeuanza mwaka kwa kupiga goti na Kumuomba Mungu aniweke mbali na hawa maadui watatu ... 1:)Pombe 2:)Wanawake 3:)Siasa...
5 Reactions
99 Replies
8K Views
Najiuliza maswali Je iwapo wasanii wetu watafanya fet. na wasanii wa inje ambao wanapenda kutumia video queen wakiwa robo tatu utupu na nusu utupu, je nyimbo zao hazitapigwa bongo?? lakini zile...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
? Ndege ya shirika la ndege la Cathay Pacific Shirika la ndege la Cathay Pacific la Hong Kong limeanzisha uchunguzi mkali kufuatia skendo kubwa lililoikumba shirika hilo la ndege baada ya...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Katika shauri lililokuwa linaendelea leo mahakama ya kisutu ambapo mahakama iliridhia watuhumiwa papa wa madawa kulevya kina Shkuba na wenzake wawili shauri lao lipelekwe nchini marekani...
3 Reactions
10 Replies
4K Views
Siku zote Waafrika hufanya mambo yanayofanana, hurudia makosa yale yale huku wakitegemea matokeo tofauti! Chadema kama walivyo Waafrika wengine kama Besigye &Co. wanaamini kabisa kwamba Muzungu...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Nawasalimu wapendwa, heri ya mwaka huu! Nililipia ada ya kama sita hivi Decemba mwaka jana shule ( ) lakini nimeghairi na kumuhamishia mwanangu shule nyingine ya awali. Sasa nilipowaambia...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…