kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
Wakuu kwema..naulizia usafiri wa kufika mkoa wa mara maana sijawahi kusafiri eneo lolote la kanda ya ziwa
Panda bus la JM kutoka Dar kwenda Musoma ndo bus zuri, then utashukia bunda , hapo utapata magar mengi tu ya kwenda mugumu-serengeti,Serengeti mkuu nipo dar
Hahahaha! Asante, nilikosea nilitaka kuandika hiyo JM, aende ubungo ofisi zao ni chumba no.40, au kule uwanja wa Taifa wana ofisi na ndo wanapaki hukoHakuna mj la musoma..nenda ubungo panda jm luxury coach la musoma kaka
Shukran sana na je nauli za huko huwa zinakuwa kiasi gani??Hahahaha! Asante, nilikosea nilitaka kuandika hiyo JM, aende ubungo ofisi zao ni chumba no.40, au kule uwanja wa Taifa wana ofisi na ndo wanapaki huko
Dar-bunda elfu 50 kwa hilo bus, bunda/ mugumu- serenget haizid elfu 10,Shukran sana na je nauli za huko huwa zinakuwa kiasi gani??
Au we ni mwl mpya, hahahah! Sema nikuelekeze hadi shule yako unayoenda,Shukran sana na je nauli za huko huwa zinakuwa kiasi gani??