Kishansa mji msafi kuliko Dar licha ya Vita kwanini

Kisansa nijiji linawatu million 11 na nijiji nisafi sana kuliko bongo licha ya vita na uchumi mbaya.je shida ninini kwa Bongo kuzidiwa na nchi zinazotoka nyuma yetu
Leta source.
 
Miji yote mikubwa ndio huwa hivyo, kuna sehemu zinakuwa safi sana na kuna sehemu ni Balaa kabisa, we ulishafika Kin au umeona tu hiyo picha ya utube?, Unalijua eneo linaloitwa Matonge ndani ya Kin?
 
Kisansa nijiji linawatu million 11 na nijiji nisafi sana kuliko bongo licha ya vita na uchumi mbaya.je shida ninini kwa Bongo kuzidiwa na nchi zinazotoka nyuma yetu
Hatuna utamaduni wa usafi
 
Jiji safi sana hili.
Dar shombo tupu kuanzia chalinze ushaanza kupata shombo la Dar
Si kweli hawajapiga Picha za Kinshasa uswahilini tuone wamepiga city center ambapo hakuna tofauti na dar tofauti ndogo labda sijaona machinga waliopanga bidhaa barabarani. Miji mingi ya kusini mwa Africa haina tofauti.
 
Cairo,Lagos,Kinshasa na Johan'begi.Hayo majiji ni level nyengine kwenye hili bara letu la Africa.
 
Si kweli hawajapiga Picha za Kinshasa uswahilini tuone wamepiga city center ambapo hakuna tofauti na dar tofauti ndogo labda sijaona machinga waliopanga bidhaa barabarani. Miji mingi ya kusini mwa Africa haina tofauti.
Amesema ni jiji safi kuliko bongo sasa apige za uswahilini za nini?Kweli Dar ni chafu bora Idodomya ni pazuri
 
Back
Top Bottom