Je waislamu wanaruhusiwa kusherehekea ama kuwatakia krismasi njema wakristo?

byeyombo

JF-Expert Member
Sep 3, 2015
2,223
3,578
Asalaam aleykum

Mtanisamehe Sana ndugu zangu iko Kwa lugha ya kiingereza lakini Kwa kifupi ni kwamba hairuhusiwi...wallahu Aalam.
Praise be to Allaah.

Greeting the kuffaar on Christmas and other religious holidays of theirs is haraam, by consensus, as Ibn al-Qayyim, may Allaah have mercy on him, said in Ahkaam Ahl al-Dhimmah: "Congratulating the kuffaar on the rituals that belong only to them is haraam by consensus, as is congratulating them on their festivals and fasts by saying ‘A happy festival to you’ or ‘May you enjoy your festival,’ and so on. If the one who says this has been saved from kufr, it is still forbidden. It is like congratulating someone for prostrating to the cross, or even worse than that. It is as great a sin as congratulating someone for drinking wine, or murdering someone, or having illicit sexual relations, and so on. Many of those who have no respect for their religion fall into this error; they do not realize the offensiveness of their actions. Whoever congratulates a person for his disobedience or bid’ah or kufr exposes himself to the wrath and anger of Allaah."

Congratulating the kuffaar on their religious festivals is haraam to the extent described by Ibn al-Qayyim because it implies that one accepts or approves of their rituals of kufr, even if one would not accept those things for oneself. But the Muslim should not aceept the rituals of kufr or congratulate anyone else for them, because Allaah does not accept any of that at all, as He says (interpretation of the meaning):


"If you disbelieve, then verily, Allaah is not in need of you, He likes not disbelief for His slaves. And if you are grateful (by being believers), He is pleased therewith for you. . ."
[al-Zumar 39:7]

". . . This day, I have perfected your religion for you, completed My favour upon you, and have chosen for you Islaam as your religion . . ."
[al-Maa’idah 5:3]

So congratulating them is forbidden, whether they are one’s colleagues at work or otherwise.

If they greet us on the occasion of their festivals, we should not respond, because these are not our festivals, and because they are not festivals which are acceptable to Allaah. These festivals are innovations in their religions, and even those which may have been prescribed formerly have been abrogated by the religion of Islaam, with which Allaah sent Muhammad (peace and blessings of Allaah be upon him) to the whole of mankind. Allaah says (interpretation of the meaning):
"Whoever seeks a religion other than Islaam, it will never be accepted of him, and in the Hereafter he will be one of the losers." [Aal ‘Imraan 3:85]

It is haraam for a Muslim to accept invitations on such occasions, because this is worse than congratulating them as it implies taking part in their celebrations.

Similarly, Muslims are forbidden to imitate the kuffaar by having parties on such occasions, or exchanging gifts, or giving out sweets or food, or taking time off work, etc., because the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: "Whoever imitates a people is one of them." Shaykh al-Islaam Ibn Taymiyah said in his book Iqtidaa’ al-siraat al-mustaqeem mukhaalifat ashaab al-jaheem: "Imitating them in some of their festivals implies that one is pleased with their false beliefs and practices, and gives them the hope that they may have the opportunity to humiliate and mislead the weak."

Whoever does anything of this sort is a sinner, whether he does it out of politeness or to be friendly, or because he is too shy to refuse, or for whatever other reason, because this is hypocrisy in Islaam, and because it makes the kuffaar feel proud of their religion.

Allaah is the One Whom we ask to make the Muslims feel proud of their religion, to help them adhere steadfastly to it, and to make them victorious over their enemies, for He is the Strong and Omnipotent.

Majmoo’ah Fataawa wa Rasaa’il al-Shaykh Ibn ‘Uthaymeen, 3/369)
 
Ni kweli, Tunajua kuwa Waislam hawaruhusiwi kuisheherekea siku ya Christmas na hata kusalimia tu kwa kusema Heri ya Krismas.

Mnasema ni Haram. Ila maswali ya msingi ni kwamba:

●Je kuna Mkristo aliyehitaji japo salamu ya krismas kutoka kwa Muislam?

●Je Mkishatusalimia au kusherehekea Krismas tutanufaikaje na ninyi?

Lakini pamoja na hayo bado nakualika Shekhe...karibu Snow Crest hotel huku nyuma kwaajili ya kusherehekea siku hii nzuri.
 
25591765_386493018472416_4532491678380883580_n.jpg
 
Dini zote zimekuja na meli angalia dini isijekuwa sumu kichwani mwako kungekuwa haya mazuio yanafanya kazi basi hata misiba tusingeshirikiana

Dini zote zinasisitiza kuwa na upendo katika jamii yetu na tulipoambiwa mpende jirani yako katika dini zetu hatukuambiwa awe dini gani
Upendo ni pamoja na kufurahia pamoja bila kuvuka mipaka ya Mungu kusaidiana tuwapo na matatizo na kuwa na ujirani mwema

Upendo unaanza ndani ya familia then kwa jirani ndipo hutoka kwenda mbali

Tupendane dini zituwekee sumu tukapoteza undugu urafiki ujirani na upendo wetu afterall hata babu zetu walikuwa na dini zao na hakuna mitume waliokuwa waafrika sasa kwanini tufarakane tuchukiane

Dini za babu zetu ilikuwa huwezi kula wakati jirani kalala njaa

Tupongezani tutakiane amani na tusherekee pamoja na kusaidiana na kufarijiana kwenye dhiki na matatizo tuacheni chokochoko hizi kwani si wewe au mimi tutaobaki salama

Mtakie mwenzako furaha kwenye sikukuu yake huku ukimkumbusha asherekee kwa amani na kutofanya yamchukizayo Mungu

Kumbukeni kuna maisha kama jamii moja na kama watanzania
 
mambo ya kukariri ni hatari sana kwa mustakabali wa amani yetu. Ukishajua Mungu ni nani, anataka nini? haya mengine sijui kafiri, sijui haram, sijui magaidi ni upofu tu. sisi sote ni ndugu, dini isitugombanishe!
 
Sio poa bana. Mbona sisi huwa tunawatakia heri, ya idi na maulidi. Na wali wenu huwa tunakula, tuwe tunashirikiana jamani ndugu.
 
Waislaam haturuhusiwi kusheherekea sikukuu Ya Kipagani.....hata wakristo pia sidhani kama wanaruhusiwa kwasababu haipo Ata kwenye Biblia.
 
Big head .....! Mery xmas n happy new year 2018 &Thanks Mr Trump 4 recognizing Jerusalem.....!
 
Waislaam haturuhusiwi kusheherekea sikukuu Ya Kipagani.....hata wakristo pia sidhani kama wanaruhusiwa kwasababu haipo Ata kwenye Biblia.
Maulidi, sherehe ya kuzaliwa Muhammad imeandikwa wapi katika Qur'an ?
 
Huwa naona ni upumbavu tu kubishania mambo ya dini, kama ni mission mzungu ma muarabu alifanikiwa kwa asilimia zote. Heri ya krisimasi shehk, nipo nagonga Kitimoto rost na manyama nyama ya kufwa mtu mixer mabia na mawine kwa wanywaji wa hizo mambo.
 
Hapa ni Kitimoto kwa kwenda mbele mixer makachumbali kachumbali Manyana nyama, mazaga zaga kibao. Heri ya siku ndugu wenzangu katika bwana
 
haina haja ya kugombana na wala kutokanana. kila mmoja asisheherekee sherehe ya mwengine kwenye mambo ya dini.
tunasheherekea mambo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi n.k pamoja ambayo hayavuki mipaka.
 
haina haja ya kugombana na wala kutokanana. kila mmoja asisheherekee sherehe ya mwengine kwenye mambo ya dini.
tunasheherekea mambo ya kijamii, kisiasa, kiuchumi n.k pamoja ambayo hayavuki mipaka.

Hivyo na kuzika tusihudhurie
Kijamii hata harusi tusiungane sawa
Hivi vichwa hivi
 
Back
Top Bottom