Baada ya kumkumbatia Makonda , TVE yaanza kupoteza watazamaji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,380
Kuanzisha Brand na kuhakikisha kwamba inakua na kujizolea umaarufu si kazi rahisi , ni kazi ngumu inayohitaji Pesa nyingi na weledi wa kiwango cha juu , inahitajika Rasilimali watu yenye ushawishi na mvuto mkubwa sana .

Kwa bahati mbaya sana kuharibu Brand yoyote ile si kazi ngumu , unaweza kutumia sekunde 60 tu na ukaharibu kitu ulichokipigania kwa jasho na damu kwa miaka mingi sana .

Kitendo cha EFM na ETV kumkumbatia RC wa DSM yaweza kuwa ndio kaburi lao, huyu mtu ni kati ya watu wasiopendwa kabisa katika nchi hii ( sababu zinafahamika ) , sasa kumkumbatia mtu wa namna hii ni kutafuta laana ya Mungu .

Majuto ni mjukuu .
 
Kwa sasa ETV wameshikwa pabaya sanaa......

Kuanzisha Brand na kuhakikisha kwamba inakua na kujizolea umaarufu si kazi rahisi , ni kazi ngumu inayohitaji Pesa nyingi na weledi wa kiwango cha juu , inahitajika Rasilimali watu yenye ushawishi na mvuto mkubwa sana .

Kwa bahati mbaya sana kuharibu Brand yoyote ile si kazi ngumu , unaweza kutumia sekunde 60 tu na ukaharibu kitu ulichokipigania kwa jasho na damu kwa miaka mingi sana .

Kitendo cha EFM na ETV kumkubatia RC wa DSM yaweza kuwa ndio kaburi lake , huyu mtu ni kati ya watu wasiopendwa kabisa katika nchi hii ( sababu zinafahamika ) , sasa kumkumbatia mtu wa namna hii ni kutafuta laana ya Mungu .

Majuto ni mjukuu .
 
Kiukweli ETV wamezidi sasa na kumuonyesha huyo Makonda. Hadi inabore! Nayo nimeiweka pembeni/kapuni kama Clouds Media na TBC
Lengo letu ni kuwakumbusha tu wasije wakalia baadaye , kwanini wanashindwa kujua kisa cha kuporomoka kwa TBC , mbona iko wazi sana !
 
Lengo letu ni kuwakumbusha tu wasije wakalia baadaye , kwanini wanashindwa kujua kisa cha kuporomoka kwa TBC , mbona iko wazi sana !

Utafiti ndio unajibu majibu yalioshindwa kujibiwa kwa hesabu au kisanyasi leo ukiangalia hakuna TV na Radio zilizokuwa zinamtangaza Makonda kama Clouds je baada ya kuacha kumtangaza wamepanda kiasi gani? au kipindi kile walishuka kiasi gani?

TBC sidhani kama ilikufa kwa kumtangaza Makonda TBC ilianza kupoteza umaarufu baada ya kuisha kwa uchaguzi wa mwaka 2010 wakati huo Makonda alikuwa wapi?

haya niambie tofauti kinachofanyika CMG na kilichofanyika kwa TBC majukumu ya TBC ameyachukua Clouds je niambie ni lini Clouds wamewasifia Chadema au Cuf zaidi ya kuwaponda kila kukicha swala la kufa TBC lipo kwenye upande wa utawala zaidi si Content na mtu wa kwanza kulaumiwa juu ya TBC ni Serikali yenyewe sidhani kama hata leo Uingereza au China wangekuwa wanafanya kama inavyofanya Serikali ya Tanganyika dhidi ya TBC sidhani kama leo BBC na CGTN (China Global Television Network) zingekuwapo? mpaka leo BBC wanatangaza kwa zaidi ya lugha 29 Duniani unadhani bila ya juhudi za Serikali ya Uingereza ingefikia hapo?

Thamani ya huduma au Bidhaa inaamuliwa na mahitaji ya soko sasa kama TBC na Serikali wameshindwa kujua mahitaji ya soko la habari Tanzania ni nini hilo ni swala la Utawala au Uongozi si Content
 
Wakati mwingine watanganyika acheni kutumia hisia zenu zitawale mpaka nifumo ya Ufahamu hv ni utafiti gani uliofanyika na kujua Makonda anachukiwa ? hv hata kama ndio upinzani mbona ni upinzani wa kiipuzi namna hii nenda leo wenzako wanapata matibabu bure kwenye meli ya wachina ukatibiwe akili yako for free
Hivi unawatibu vipi watu wasioumwa ? Ni vichekesho na vituko !
 
Utafiti ndio unajibu majibu yalioshindwa kujibiwa kwa hesabu au kisanyasi leo ukiangalia hakuna TV na Radio zilizokuwa zinamtangaza Makonda kama Clouds je baada ya kucha kumtangaza wamepanda kiasi gani? au kipindi kile walishuka kiasi gani? TBC sidhani kama ilikufa kwa kumtangaza Makonda TBC ilianza kupoteza umaarufu baada ya kuisha kwa uchaguzi wa mwaka 2010 wakati huo Makonda alikuwa wapi? hay niambie tofauti kinachofanyiaka CMG na kilichofanyika kwa TBC majukumu ya TBC ameyachukua Clouds je niambie ni lini Clouds wamewasifia Chadema au Cuf zaidi ya kuwaponda kila kukicha wala la kufa TBC lipo kwenye upande wa utawala zaidi si Content na mtu wa kwanza kulaumiwa juu ya TBC ni Serikali yenyewe sidhani kama hata leo Uingereza au China wangekuwa wanafanya kama inavyofanya Serikali ya Tanganyika dhidi ya TBC sidhani kama leo BBC na CGTN (China Global Television Network)
Muda ndio utakaoongea .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom