Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzee wetu mpendwa Kingunge Ngombare Mwiru inasemekana katika nyakati za mwisho alitubu na kuukubali ukatoliki. Mzee Kingunge amezikwa kwa ibada iliyoongozwa na Katekista ameshindwa kusomewa misa...
7 Reactions
100 Replies
12K Views
Pole sana tido.. Unapitia kipindi kigumu kwa wakati huu kwa kesi inayokukabili...usife moyo bado watanzania wengi tunakubali mchango wako hasa kwenye tasinia ya habari. Ndugu Tiddo pamoja na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna ajali imetokea Ndanda maeneo ya Nangoo Mtwara. Basi ilikuwa ikielekea Dar Es Salaam. Hakuna aliyekufa ila kuna Majeruhi. Majeruhi wamepelekwa St.Benedict's Hospital Mtwara. Hii ni Hospitali...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Ndugu wanajamii wenzangu mimi mfanyakazi katika kampuni moja ya kimataifa(sitoitaja jina) nimefanya kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja bila ya kupewa mkataba licha ya kufanya kazi kwa bidii na kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwanza kabisa napenda kumpa pole rais wangu kwa majukumu mazito aliyo nayo, baada ya pole hiyo naomba nimpe majukumu mengine kwani ndo wajibu wake kutatua matatizo ya wananchi wake Hoja yangu...
3 Reactions
64 Replies
10K Views
Salaam wazee wenzangu Tangu Jana natafuta App ya Jf kule play store siipati naambiwa item not found Nataka kuinstall kwenye simu yangu mpya ya Infinix Je tatizo ni nini?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Niliuziwa line ya halotel y kiuanafunzibmwaka jana, kama ilivyo ada nilikuwa naweka kila mwezi muda w maongezi wa kuanzia Tsh 10,000++ accoarding to my matumizi, lakini cha kushangaza kila...
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Hi members, ni matumaini yangu mko salama salmin. Kama kichwa cha habari kinavojieleza, binafsi natabiri yafuatayo katika ulimwengu huu. . 1. Kizazi cha mwanadamu kitaanza kua replaced na kizazi...
7 Reactions
76 Replies
6K Views
Wasalaam Baada ya kukutana na biashara hii yenye kila sababu ya kuifanya nikaona nisiwe mchoyo basi niifikishe kwa watanzania wenzangu free of charge ili watu wanaojua kutumia fursa waikamatie...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Habari za weekend wadau, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimepata fursa ya kwenda England kujitolea katika nyanja mbali mbali kwa muda wa mwaka mmoja. Kwa mwenye uzoefu wa haya mambo aje...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzuqa Wanajamvi Nimedokezewa muda siyo mrefu bonge la Fursa huko kwa wanaume wagumu duniani Ujerumani. Ni hivi Audi, Benz, VW na BMW kwa kushirikiana wanahitaji watu wa kutosha kufanya utafiti...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo Taarifa ya habari Clouds TV saa 1.30 usiku wameonyesha kampeni za Ubunge za chama cha CUF na CCM, Je CHADEMA hawakufanya kampeni? Au mimi sikuona? Kama mnafikia huko mkumbuke kuna maisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vifaa ni vichache watu wachache muda wa kazi mfupi. Wananchi wanapanga foleni tangu asubuhi ikifika saa kumi na nusu muda umeisha kwanza zoezi linaenda taratibu utafikiri uko kwa daktari wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mtu unadownloda kitu cha mb 8.point ndani ya saaa moja. Kama sio kumaliziana charge tu huku. Zamani mlikuwa poa Sana na niliwasifia mnoo. Zaidi niliwashawishi watu zaidi ya kumi kujiunga na...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Magazeti ya Uhuru na Mzalendo yaongeza bei kutoka 800 mpaka 1000. Viongozi wa juu wa magazeti hayo walisema Pamoja na mambo Mengine sababu kubwa ya kuongeza bei ni kujaribu kwenda sambamba na...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Wasalaam wanajamvi, Binadamu wamekuwa wafuatiliaji wa mambo tena kwa ujasiri mkubwa hata kufikia hatua wengine kwenda mwezini. Vipi hili suala la kuwepo kwa uchawi,majini na vihusiani vingine...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Wakuu habari... Nilishahi kuja kuomba ushauri juu ya dadaangu kutumia cheti changu cha form 4, niliwaelewa SNA nikamshauri kwamba ataniweka pabaya akitumia cheti changu na isitoshe mwakani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
watu hawa wanaibuka au wanaibuliwa?
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Esmond Bradley-Martin Mwanaharakati na mchunguzi wa biashara ya meno ya tembo duniani, Esmond Bradley-Martin ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu shingoni akiwa nyumbani kwake jijini Nairobi, Kenya...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom