Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu niwape salaam kwa utanashati na nidhamu iliyotukuka, Nimekuwa rafiki sana wakutembelea huu mji mdogo wa Mikumi kwa mda mwingi sana lakini mda wote huo nimejaribu kujiuliza maswali mengi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Dodoma. Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora imesema watumishi wote waliondolewa katika utumishi wa umma kwa sababu ya kukosa vyeti vya kidato cha nne hawana madai yoyote Serikalini...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimeshitushwa na taarifa toka Mbungeni kuhusu bajeti ya wizara ya afya kuwa mpaka sasa ndani ya miezi 6 ya utekelezaji wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2017/2018 ni kwamba fedha zilizopelekwa ili...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Ugonjwa wa kipindupindu umeingia wilayani Mbinga mkoani Ruvuma na kusimamisha shughuli nyingi za mikusanyiko ikiwemo zoezi la uandikishaji wa vitambulisho vya taifa katika kijiji cha Lisau huku...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu jamaa namuita kama ndugu yangu. Enzi za uvulana tulikuwa pamoja na yeye akaondoka hapo tulikuwa pamoja na kurudi kwao Sumbawanga. Ni miaka nane sasa imepita tangu nionane kwa Mara ya mwisho...
5 Reactions
41 Replies
5K Views
Sumu ni dutu yoyote inayoweza kuharibu kiasi kidogo shughuli za seli au inayoweza kudhuru muundo wa seli au kiumbehai. Inaweza kunyweka au kuliwa , au kufyonzwa kupitia ngozi. Uharibifu kawaida...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
TRL imepata hasara ya takribani sh 5 bilioni kutokana na kusimamisha huduma ya usafiri kufuatia kuharibika kwa reli katika wilaya ya Kilosa. Uharibifu huo umesababishwa na mafuriko yaliyoletwa na...
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Niliamua kumpuuza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na mambo yake; hasa uamuzi wa hovyo anaoutoa kila mara anapokutana na umma anaouongoza. Uamuzi wangu ulitokana na namna anavyojiweka kwenye kiti...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo imepunguza gharama za kupiga simu na kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kitaifa na kimataifa kwa asilimia 27.5. Takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Salaam wakuu, Leo nilikuwa kanisani, sasa ulipofika muda wa matangazo ya michango mbalimbali nikashangazwa sana kusikia kila mchango wanawake wametuzidi kwautoaji. Nikajiuliza wanaume tunakwama...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Ndiyo,hakuna namna nyingine ya kueleza hali hiyo.orodha ya watumishi iliyotangazwa na waziri wa fedha kulipa madeni ya watumishi nchi nzima,wilayani missenyi watumishi walioonekana kwenye orodha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku sita zilizopita nilimtumia mwanangu Tsh 100,000 Mpesa i.e vodacom kwenda tigo. Ile hela haikwenda ila nilipata ujumbe niende kwa wakala wa vodacom. Wakala aliniambia hela ime hang na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Dodoma. Jeshi la Polisi limewachukulia hatua mbalimbali za kinidhamu askari wake 105 ikiwa ni pamoja na kuwafukuza kazi. Akizungumza bungeni leo Februari 9, 2018 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa napokea hizi meseji zaidi ya kumi kwa siku nikizani ni za maana. Mbaya zaidi wengine tunakaa na wazee ambao hawajui kusoma, Mzee anakuja kukugongea usiku wa manane(maana hata huo muda...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Hi ukishafunga gypsum na zile screw kwenye blundering katka ku-skim, Je kuna haja ya kuskim gypsum yote ndipo upake rangi au ni zile sehemu tu ulizotumia phyber tap na screw pekeake? Nawasilisha...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
A TRUE SON OF AFRICA HISTORIA YA PHILOSOPHY ZA KINGUNGE _"Kwangu mimi kuwa “Mwanafikra huru” ni “evolving of ideas” — “zamadamu” ya mawazo._ _"Kwamba nilibatizwa Mkristo wa Roman Catholic na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari bwana jf nimekuta hii habari ikizunguka kwenye mitandao mbambali nikaona si mbaya nikashare hapa ili kupata miono ya watu mbalimbali. _Na Sarah Pelaji, Dar es Salaam_ Baada ya Taifa la...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki Mhe Tundu Antiphas Lissu kumjulia hali. Lissu anaendelea na matibabu ya viungo katika hospitali ya...
7 Reactions
37 Replies
10K Views
Niko na mwanangu wa siku nyingi tunajadili hoja mtambuka. Leo tunajadili hoja mtambuka inayohisi uwepo wa Mungu.Swali ni je Mungu Yupo?.Namtazama kwanza kwa makini kisha namuuliza kwa nini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom