Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo imenyesha mvua karibia siku nzima maeneo ya Songea. Waliokinga MAJI wamebaini MAJI yalikuwa si ya kawaida kwa kuwa na weusi flan HV yaani haya kuwa clear km ilivyo kawaida. Baadhi yetu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kikwapa ni tatizo la kutoa harufu mbaya sehemu ya kwapani katika mwili wa binadamu. Tatizo la kikwapa husababishwa na bakteria wanaovutiwa na jasho au unyevunyevu chini ya kwapa. Tatizo la...
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Ndugu zanguni kuna tabia ambayo imezoeleka miongoni mwa wengi kila waonapo nyoka wanawapiga na mawe,magongo na silaha aina yeyote ile mpaka wanawaua hata pale nyoka akiwa sehemu pekee yake...
20 Reactions
188 Replies
23K Views
Mwanaume Mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa nikimfatilia na kumpenda sana Radio and Weasle since ninasoma Makerere nchini Uganda miaka kadhaa iliyopita na kubahatika kukutana nao ktk kumbi mbali mbali za music na pia...
7 Reactions
37 Replies
7K Views
Nairobi Kenya - The Kenya School of Monetary Studies - Thika super highway Naomba kujua chochote kuhusu mazingira ya hii shule kwa wanaoifahamu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
687 Views
Kwa maisha ya Kitanzania hakuna mtu ambaye hajawahi kula chakula cha mtaani /vibanda hodi /uchochoroni au kwa jina maarufu 'Mama Ntilie'. Bei yake huwa ni ya kawaida sana (pengine robo ya...
5 Reactions
55 Replies
18K Views
Una pata misiba mizito katika familia na ukoo mpaka kichwa kinawaka moto. Inafikia mahali ukisikia mtu kafa unaagiza castle unashusha pumzi na fegi mdomoni. Daaa! Mida hii amefariki fundi wangu wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nawatch habar hapa huko lindi kuna jamaa kajitolea kutunza vijana/team ya mpira,anawalea na kuwapa mafunzo,sasa hali ni ngum hawaish sehem nzur,ingawa team yao ina vikombe kibao.mkuu wa mkoa et...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni umri upi kijana anatkiwa utoke kwenu uende ukajitegemee kwa kupanga au kujenga kwako? Hasa kwa watoto wa kiume
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Habarini za asubuhi wadau.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza;Kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro inayotoa huduma zake za usafirishaji wa abiria na mizigo mikoa ya Dar,kilimanjaro, Arusha nawaonya...
5 Reactions
54 Replies
12K Views
Wakuu, imekuwa kawaida ya kuona kwenye televishen viongozi wetu wakichoma mimea ya bangi kwa moto. Ukweli mie mtindo huu hunikera mno hasa ukuzingatia uharibifu wa mazingira na hali ya hewa. Moto...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mzuqa Wanajamvi. Major Roman Filipov 33, rubani wa ndege ya kivita ya urusi sukhoi-25 iliyotunguliwa Na kombora kutoka kwa waasi wa Alqaidah Al Nusra front wanaopigana dhidi ya Assad huko Syria...
11 Reactions
68 Replies
8K Views
Mkoa wa Iringa awali ulikuwa unakaliwa na wenyeji wa makabila ya wahehe, wabena, wakinga, waanji, wapangwa wakisi na wamanda. Lakini baada ya kugawanywa na kuzaliwa mikoa miwili ya Iringa na...
5 Reactions
98 Replies
26K Views
Bandugu, kama kichwa kisemavyo, ninaamini kuna wenzangu wengi ambao huwa tunakutana na kero mbali mbali kwenye mizunguko yetu ya kila siku, either ziwe za kijamii au vyovyote vile lakini huwa...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
Ina majina mengi sababu ya nguvu yake, huna hii basi pia huna confidence ya mambo karibu yote ufanyayo hapa duniani. Heshima ya binadamu inatokana na hii kitu; ndoa zinaimarika ama kuvujika...
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Nimemsiliza sana waziri lakini sijaona kitu cha maana cha kuendeleza elimu. Amenishangaza sana alipotoa mfano wa shule ambayo inadaiwa ni zaidi ya shule ni chuo kikuu kwakua miundombinu yake...
0 Reactions
1 Replies
940 Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Faustine Ndugulile leo Februari 9, 2018 ameweka wazi sababu nne ambazo zinapelekea wanawake wengi zaidi kuonekana wanapata...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuanzia mwaka 2006 the Economist Intelligence Unit wamekuwa wakiangalia viwango vya demokrasia katika nchi 167 (kubwa 165 na ndogo 2). Kwa mwaka 2017, Tanzania imeshika nafasi ya 91 kwa demokrasia...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni mara nyingi sana wanawake husikika wakisema "ngoja nimpigie boda boda wangu" na sentensi kama hizo wakimaanisha kwamba huyo ni dereva wanayemtumia mara kwa mara na anamwamini. Na wakisema hvy...
1 Reactions
1 Replies
911 Views
Back
Top Bottom