Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau wa JF. Niende kwenye mada hapo juu. Jana nilihudhuria ktk msiba wa jirani yangu ambaye ni mzee wa zaidi ya miaka 80. Kilichonifanya kuja hapa ni kisa wakati wa foleni ya kuchukua...
3 Reactions
92 Replies
10K Views
Wakati mwingine najaribu kulaumu kuhusu namna kazi yangu isivyo nzuri kuliko zingine, kisha nakumbuka wakati nilipokuwa nasaini mkataba huku nikimshukuru Mungu kwa nguvu zote kwa kuipata kazi hii...
7 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa taarifa nilizonazo mwanasheria Greyson ameamua kuungana na timu anayo jadiliana nayo ili waunde timu kila wilaya kufafikisha zoezi la kuwafikisha mahakamani wanaume walio wazalisha wasichana...
0 Reactions
3 Replies
822 Views
BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limekanusha kauli ya Shehe wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ya kukosoa utaratibu wa kazi za Chama Cha Mapinduzi CCM), unaofanywa na Katibu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
NAJUA WAJUA LAKINI NATAKA UJUE ZAIDI. *JINSI WANAFUNZI WA YESU WALIVYOKUFA.!* *1. Mathayo* Huyu aliuawa kwa upanga huko Uhabeshi (Ethiopia ya leo) baada ya kuonyesha imani kali dhidi ya Kanisa...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Natumaini mko salama kabisa, Miaka kama mitatu sasa imepita binafsi naona ile kasi ya vita dhidi ya maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI imekua ikipooza siku hadi siki. Nakumbuka miaka ya 2010 kurudi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Joel 2:12-27 Rend Your Heart 12 “Even now,” declares the Lord, “return to me with all your heart, with fasting and weeping and mourning.” 13 Rend your heart and not your garments...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Niseme tu ule ukweli wenyewe sisi vijana ambao hatujaoa huwa tunawazia makubwa sana kwenye ndoa . Yaani unaweza kukaa ukawaza na kujisemea tu siku nikioa nitakuwa nafanya sex (Ngono) kila siku ...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ilikua tar. 16/1/2018 nilivamiwa na polisi nyumbani kwangu maeneo ya kibamba askari hao walikua tisa walikua na bunduki ilikua saa mbili usiku walinikuta sebleni nakuniamulu nisiamke nilipokaa...
8 Reactions
56 Replies
49K Views
Wakuu,mtanisamehe tu kwani mimi siyo mwandishi mzuri hata kidogo. Wanasema nchi ikiwa na wasomi wengi haitawaliki kirahisi. Hoja yangu ni huu uhaba wa ajira kwa wahitimu,wengi tunaililia...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari zanu wana JF, Niende kwenye swali moja kwa moja, hivi jamani kwanini Soda hazina expire date?
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu habari zenu namtafuta uyu mdada popote alipo mwenye mawasiliano yake au anayejua alipo anisaidie uyu mtu ananidai fadhila kwa wema wake kwangu nimemtafuta bila mafanikio sipajui...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habarini za asubuhi,nina imani wengi wetu tumeamka vyema ikiwa jumatano ya pili ya mwezi FEB Kuna huyu mwanadada mzaliwa wa uganda ali maarufu kama winfrend businge,ni mfanya biashara wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni ya NewForce iliingia nchini kwa kibali cha kuuza magari toka china hasa Zhongtong: Wakati inaaza biashara waliijikita zaidi kwenye biashara ya kuuza magari tuu baadae Wakaanz kupiga ruti...
13 Reactions
156 Replies
34K Views
Kuendelea kuharibika na kuporomoka kwa maadili nchini Tanzania, imegundulika kuwa kukua kwa Teknolojia na kuenea kwa Utandawazi ndio imekuwa chanzo cha kupoteza Uafrika na asili yake. Siku hii ya...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Akizungumza na vyombo vya habari jana, Mkuu wa Takukuru mkoani Mwanza, Ernest Makale amesema maofisa hao ambao ni, Mugusi Isaya (59) ambaye ni ofisa kilimo na mazingira katika halmashauri ya jiji...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nikiwa katika daladala nilipata kusikia baadhi ya raia wakibishana kuhusu ile project ya tazara wengine wanadai ni daraja wengine wanakomaa wanasema ile ni fly over So wakuu nilikua nauliza who...
3 Reactions
43 Replies
10K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru na kumrudishia fedha zake, Winfred Busige (33), raia wa Uganda aliyekamatwa akisafirisha fedha kiasi cha TZS bilioni 2, katika uwanja wa Ndege wa...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Heshima kwenu wanajanvi. Bila kuwachosha niende kwenye mada moja kwa moja Kuna mama mmoja ni rafiki wa Mke wangu na tunaishi eneo moja wilayani. Mama huyu alimsomesha mtoto wake wa kwanza wa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom