Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalaam Baada ya kukutana na biashara hii yenye kila sababu ya kuifanya nikaona nisiwe mchoyo basi niifikishe kwa watanzania wenzangu free of charge ili watu wanaojua kutumia fursa waikamatie...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Habari za weekend wadau, Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimepata fursa ya kwenda England kujitolea katika nyanja mbali mbali kwa muda wa mwaka mmoja. Kwa mwenye uzoefu wa haya mambo aje...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzuqa Wanajamvi Nimedokezewa muda siyo mrefu bonge la Fursa huko kwa wanaume wagumu duniani Ujerumani. Ni hivi Audi, Benz, VW na BMW kwa kushirikiana wanahitaji watu wa kutosha kufanya utafiti...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo Taarifa ya habari Clouds TV saa 1.30 usiku wameonyesha kampeni za Ubunge za chama cha CUF na CCM, Je CHADEMA hawakufanya kampeni? Au mimi sikuona? Kama mnafikia huko mkumbuke kuna maisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vifaa ni vichache watu wachache muda wa kazi mfupi. Wananchi wanapanga foleni tangu asubuhi ikifika saa kumi na nusu muda umeisha kwanza zoezi linaenda taratibu utafikiri uko kwa daktari wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mtu unadownloda kitu cha mb 8.point ndani ya saaa moja. Kama sio kumaliziana charge tu huku. Zamani mlikuwa poa Sana na niliwasifia mnoo. Zaidi niliwashawishi watu zaidi ya kumi kujiunga na...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Magazeti ya Uhuru na Mzalendo yaongeza bei kutoka 800 mpaka 1000. Viongozi wa juu wa magazeti hayo walisema Pamoja na mambo Mengine sababu kubwa ya kuongeza bei ni kujaribu kwenda sambamba na...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Wasalaam wanajamvi, Binadamu wamekuwa wafuatiliaji wa mambo tena kwa ujasiri mkubwa hata kufikia hatua wengine kwenda mwezini. Vipi hili suala la kuwepo kwa uchawi,majini na vihusiani vingine...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Wakuu habari... Nilishahi kuja kuomba ushauri juu ya dadaangu kutumia cheti changu cha form 4, niliwaelewa SNA nikamshauri kwamba ataniweka pabaya akitumia cheti changu na isitoshe mwakani...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
watu hawa wanaibuka au wanaibuliwa?
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Esmond Bradley-Martin Mwanaharakati na mchunguzi wa biashara ya meno ya tembo duniani, Esmond Bradley-Martin ameuawa kikatili kwa kuchomwa kisu shingoni akiwa nyumbani kwake jijini Nairobi, Kenya...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Natangulizaa shukuran wakuu,naomba kujuzwa kiundani Kwa yeyote mwenye kufahamu,je Kwa mwanafunzi hili limekaaje?maana mwenyekit wa mtaa wetu anachagua watu wakalinde usiku ingali Mimi no...
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Habari wanaJF, Mi ni mmoja wapo wa wanachama wa NHIF, nikiwa mfanyakazi wa serikali kuu. Leo hii mmoja wa wategemezi wangu anaumwa so akaenda hospital kupata tiba. Kufika kule akaambiwa kadi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika zunguka zunguka ya bank aisee usijiloge ukaenda tawi la Mbaliz road soko la zaman uhindini mkabala IPO. Aisee pale bank ni shida dilisha zipo nne ila hazijawai kuwa zote kazini,mteja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana line ya tigo kwangu muda mwingi ilikuwa inaandika emergency muda mwingi. Na jioni wakatuma msg kuomba radhi. Leo line ya voda ipo emergency muda mwingi,mwenye taarifa atujuze nini...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya saa mbili Azam tv wameripoti kuwa huko Njombe kuna binti mdogo amedondoka kutoka kwenye paa la nyumba usiku wa manane. Inasemekana kijana anayeishi katika nyumba hiyo...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Huwa najiuliza sana, wachawi wanapata faida gani kusumbua watu wengine kwa kuwaloga na hata kuwaua, maana ukiangalia watu wengi wanaotajwa kuwa wachawi iwe mjini ama kijijini maisha yao ni ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Direct to the topic Swala la Elimu Zanzibar lipo chini sana na hili limechangiwa na mambo mengi lakini kubwa kuliko yote ni SIASA. Siasa zilizopo Zanzibar sio nzuri kwa mustakabali wa...
12 Reactions
82 Replies
14K Views
Habari wakuu, Ni miezi mitatu yangu nimeajiiriwa serikali kama mtumishi wa kituo cha afya stahiki kama substituent allowance nilipata ila ukiisha huu mwezi wa 2 bila mshahara nitakuwa namalizia...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Katibu wa Taasisi ya Jumuiya ya Kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, akisindikizwa na askari Magereza kutoka chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana. Mahakama...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom