Mzee Kingunge kazikwa na Katekista na alifanyiwa ibada sio misa

mkuzo

Member
May 8, 2014
52
49
Mzee wetu mpendwa Kingunge Ngombare Mwiru inasemekana katika nyakati za mwisho alitubu na kuukubali ukatoliki. Mzee Kingunge amezikwa kwa ibada iliyoongozwa na Katekista ameshindwa kusomewa misa takatifu kwasababu ya kutokushiriki katika kuuishi ukatoliki enzi ya uhai wake.

Hawa Makasisi wa kikatoliki inaonekana wako strictly sana katika kusimamia wanachokisema.
 
Mzee wetu mpendwa kingunge ngombare mwiru inasemekana katika nyakati za mwisho alitubu na kuukubali ukatoliki...mzee kingunge amezikwa kwa ibada iliyoongozwa na katekista ameshindwa kusomewa misa takatifu kwasababu ya kuto kushiriki katika kuuishi ukatoliki enzi ya uhai wake...hawa makasisi wa kikatoliki inaonekana wako strictly sana katika kusimamia wanachokisema!!
Nothing is the number when you die... Yote yanayofanyika kwa mfu ni faraja tu ya kijamii na kiutu Lakini hayana tija tena kwa marehemu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom