Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dr, Shika 900 itapendeza. Kumbusho Dawson, Mipasuko nyufa UDSM Hostel za JPM.
1 Reactions
4 Replies
765 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mghwira amewamwagia sifa wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro ambao walikwenda kula sikukuu za mwisho wa mwaka mkoani humo, kwa kufanya matumizi makubwa na kuongeza...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hwajazingua kwa habari ya mwendo, bali wameonyesha namna ambayo bado wanakua. Wakati wenzao wakiwa na mabasi zaidi ya 1 yanayokwenda mji mmoja, wao wana basi moja tu. Hapa nilipo nasubiri basi lao...
5 Reactions
90 Replies
11K Views
Vitu vya pekee ambavyo unatakiwa kujua mpaka sasa ni elimu unayoendelea kuipata, maisha halisi na muda wa masomo mpaka uhitimu. Nadhani wote tunafahamu kwamba mahitaji ya wafanyakazi kwenye...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu alikua na kesi inayodhaminíka na dhamana ilikua wazi ila kutokana na process ya kupata barua tulichelewa kama dk 10 hivi akawa kashapanda gari anaelekea segerea jee tunaweza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
JIHADHARINI NA TAPELI HUYU ANAYEZUNGUKA HASA MAENEO YA VYUO (DAR) Ilikua siku ya Jumatatu asubuhi nikiwa maeneo ya chuo (IAE) Posta, akatokea jamaa amevaa smart sana, akaniambia kaka natafuta...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Tujuzane benki zilizo kwenye hali mbaya ambazo serikali inaziangali kwa jicho la tatu ili tukachomoe visenti vyetu haraka Hili swala linaumiza sana mtu umejibana miaka kadhaa halafu ghafla...
18 Reactions
358 Replies
49K Views
Wakuu habari zenu, Nimeleta uzi huu ili kupata experience ya wenzetu nchi zilizoendelea. Je ni sahihi kukata umeme wakati wa mvua ili kuepuka madhara na uharibifu? Vipi huko majuu, hali nako ni...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Hbr Wana jf Mimi nakereka kupokea meseji kila siku za tatu mzuka na biko ,hivi hakuna namna ya kuziblock ?? Asubuhi tu meseji mchana meseji yaani Kwa kweli nakereka nikifungua txt nakukuta ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
KWANZA LIKE POST HII KUONYESHA UPENDO ILI TUWEZE SONGA MBELE WOTE MIMI nina miaka 25 mpaka sasa na tokea mzazi wangu mpendwa nilikuwa namtegemea miaka 3 ilio pita alivyo tangulia mbele za haki...
23 Reactions
184 Replies
18K Views
Ndugu wadau naomba kujuzwa utaratibu wa kuhama kikazi kutoka taasisi kwenda wizarani.kwa mfano kama unafanya kazi TAASISI YA UTAFITI MAGONJWA YA BINADANU(NIMRI) na unataka kuhamia kikazi WIZARA YA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kuhusu malipo ya bure kwa TV za ndani. Startime wamegoma kabisaaa hadi dakika hii nakwenda hewani. Jamaa walitoa tamko kutafuta kiki ya mwisho wa mwaka ila wamekutana na watoto wa mjini zaidi yao.
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Mkataba kusainiwa rasmi ijumaa Utatekelezwa kupitia chama cha siasa ukihusisha vijana wasomi wenyeji wa Bukoba. Wazee waliohafiki kukikaribisha Chama na "Wajumbe wa Kaskazini" wamependekeza...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Jeshi la polisi mkoa wa Mara kwa kushirikiana askari wa hifadhi ya taifa ya Serengeti ,linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuingia katika hifadhi hiyo na kuua Tembo wawili huku wakikutwa na...
0 Reactions
6 Replies
635 Views
Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abubakar Zuberi, ametaka viongozi wa dini nchini kuheshimiwa na jamii ikiwemo kutekelezewa mahitaji yao ya msingi ili waweze kujikimu kimaisha. Akizungumza na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
msaada tafadhali ninaweza kujua aina hii ya madini
2 Reactions
76 Replies
30K Views
Kuhusu umauti ulivyomkuta Mfinaga, Soma => Empakai, Arusha: Ndege ya Shirika la Coastal Aviation yaanguka. Watu 11 wafariki dunia
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Habari ndugu,samahani naomba kufahamishwa kama kuna uwezekano wa mwanamke ambae amepita mafunzo ya kijeshi kuweza kupewa cheo cha CDF,na kama hawezekani ni kwa vigezo gani vinavyopelekea asipewe...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Habari zenu Jf niliomba ushauri kuhusu kuomba kuruhusiwa na mke wangu ninywe Kwa Uhuru. Nilimuomba Jana usiku Kwa unyenyekevu kabisa huku nikimwambia nilishauriwa na daktari kabla sijamuoa Bali...
0 Reactions
2 Replies
606 Views
Mamlaka ya Mapato TRA,mkoa Wa Arusha, imevifunga vituo vitano vya mafuta kwa kosa la kukwepa kodi kwa kushindwa kutoa risiti za mauzo wakati wa kutoa huduma ya mafuta kwa wateja. Aidha mamlaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…