Leo wahusika wa basi la KISBO wamezingua

Leo wahusika wa basi la KISBO wamezingua

Jeho

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
5,069
Reaction score
5,556
Hwajazingua kwa habari ya mwendo, bali wameonyesha namna ambayo bado wanakua. Wakati wenzao wakiwa na mabasi zaidi ya 1 yanayokwenda mji mmoja, wao wana basi moja tu. Hapa nilipo nasubiri basi lao lililolala Shinyanga jana, lifike Mwanza, lichukue abiria ligeuze Dar. Wamehatarisha hata sehemu yangu ya kujipatia mlo. Imani yangu juu ya kampuni hii, leo imeingia doa.
Ni mimi msafiri anayeendelea kusubiri basi stendi ya Nyegezi mjini Mwanza.
Graph Theory
 
Vumilia.Hiyo ya basi kufika na kugeuza si salama sana linahitaji kupoa na kukagulia walau kwa siku moja.
 
Hujaondoka tu aisee. Sie ndo tunatoka Moro hapa kuingia Dar tulitoka jana Saa 3.
 
Yan wewe Elf 20 Yako tu ndo uje kumlaulaumu mwenzako kwanini asitumie Mil 200 kununua basi mbili ili wewe uipande, huoni kama ndo fursa kwako kununua la pili?
 
Kwa hiyo hakuna cha service wala nini ni kubadilishana siti?ebu jitolee hata wewe mwenyew bas likija ukague hata tairi za mbele.
 
Nilipanda Kidia One DSM tukaingia saa sita kasoro
In single Day
 
Kwa hiyo hakuna cha service wala nini ni kubadilishana siti?ebu jitolee hata wewe mwenyew bas likija ukague hata tairi za mbele.
Nadhan lazima waingie service japo saa moja.
 
Hwajazingua kwa habari ya mwendo, bali wameonyesha namna ambayo bado wanakua. Wakati wenzao wakiwa na mabasi zaidi ya 1 yanayokwenda mji mmoja, wao wana basi moja tu. Hapa nilipo nasubiri basi lao lililolala Shinyanga jana, lifike Mwanza, lichukue abiria ligeuze Dar. Wamehatarisha hata sehemu yangu ya kujipatia mlo. Imani yangu juu ya kampuni hii, leo imeingia doa.
Ni mimi msafiri anayeendelea kusubiri basi stendi ya Nyegezi mjini Mwanza.
Graph Theory
Check na Deo Kisandu uone namna atakusaidia!
 
Kwasasa mabus yote yamefungiwa ving’amuzi na SUMATRA ikizidi spidi 80 tu
Dereva atakutana na fain ya mil1 huko afikapo
Ndio maana kwasasa ma bus yanaenda kama enzi zile za treni dar mwanza siku 1 nanusu
 
Ndiyo zimeingia Nyegezi. Hapa ni kusubiri kuondoka tu.
 
Back
Top Bottom