Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Kuhusu umauti ulivyomkuta Mfinaga, Soma => Empakai, Arusha: Ndege ya Shirika la Coastal Aviation yaanguka. Watu 11 wafariki dunia
hii kitu itatia mashaka sana kwa wawekezaji wa Nje kuja Tanzania kuwekeza... Kama mwanasheria kuna chochote unaweza kusaidi hapa?Huwa sielewi kwanini ndugu huwa sharp na wakali sana katika mambo ya mirathi. Laiti nguvu inayotumika kugombania mirathi ikitumika katika kutafuta mali binafsi, Tanzania itapiga hatua kubwa kimaendeleo. Kugombania mirathi kwa nguvu zote ni uthibitisho wa uvivu na wivu wa wagombeaji kwa mali za wengine. This absurdity has to stop!
Cha kusaidia ni kupambana na hao walafi wa mali za marehemu ili mali ziwafaidishe mke na watoto. Ni kuwahi kufungua shauri la mirathi kwa ajili ya kuteuliwa Msimamizi wa Mirathi ili akusanye na kusimamia mali za marehemu.hii kitu itatia mashaka sana kwa wawekezaji wa Nje kuja Tanzania kuwekeza... Kama mwanasheria kuna chochote unaweza kusaidi hapa?
hii kitu itatia mashaka sana kwa wawekezaji wa Nje kuja Tanzania kuwekeza... Kama mwanasheria kuna chochote unaweza kusaidi hapa?
WADHUKLUMIE TU,MBONA EMANUEL EBUE HATA HAJAFA WAMEMDHULUMU,WAdhulumie tu aende zake kwao na watoto wake.
Sasa aibu ya Tanzania iko wapi hapo? Hayo ni mambo ya kifamilia, usitake kuliingiza taifa kupitia propaganda mfu za ufipa.
Tunapaswa kujenga utaratibu wa kuandika wosia, tatizo wengi tu a imani za kipuuzi na kuchukulia wosia kama mkosi.Huwa sielewi kwanini ndugu huwa sharp na wakali sana katika mambo ya mirathi. Laiti nguvu inayotumika kugombania mirathi ikitumika katika kutafuta mali binafsi, Tanzania itapiga hatua kubwa kimaendeleo. Kugombania mirathi kwa nguvu zote ni uthibitisho wa uvivu na wivu wa wagombeaji kwa mali za wengine. This absurdity has to stop!
Yaani maswala ya kifamilia ndo yazuie wawekezaji kuja Tanzania?hii kitu itatia mashaka sana kwa wawekezaji wa Nje kuja Tanzania kuwekeza... Kama mwanasheria kuna chochote unaweza kusaidi hapa?
Huwa sielewi kwanini ndugu huwa sharp na wakali sana katika mambo ya mirathi. Laiti nguvu inayotumika kugombania mirathi ikitumika katika kutafuta mali binafsi, Tanzania itapiga hatua kubwa kimaendeleo. Kugombania mirathi kwa nguvu zote ni uthibitisho wa uvivu na wivu wa wagombeaji kwa mali za wengine. This absurdity has to stop!
Mpaka wanaudhi, uvivu wa kutafuta tu wakiwa hai...Sheria ikifuata mkondo wake ndugu hawapati chochote pale...Huwa sielewi kwanini ndugu huwa sharp na wakali sana katika mambo ya mirathi. Laiti nguvu inayotumika kugombania mirathi ikitumika katika kutafuta mali binafsi, Tanzania itapiga hatua kubwa kimaendeleo. Kugombania mirathi kwa nguvu zote ni uthibitisho wa uvivu na wivu wa wagombeaji kwa mali za wengine. This absurdity has to stop!
Mkuu, walafi wa mali za marehemu huuchezea rafu hata WosiaTunapaswa kujenga utaratibu wa kuandika wosia, tatizo wengi tu a imani za kipuuzi na kuchukulia wosia kama mkosi.
Tunapaswa kujenga utaratibu wa kuandika wosia, tatizo wengi tu a imani za kipuuzi na kuchukulia wosia kama mkosi.
Wanaozulumu niwakenya au nchi nyingine?Yaani maswala ya kifamilia ndo yazuie wawekezaji kuja Tanzania?
Au siku hizi kuoa/kuolewa na wazungu ni sehemu ya uwekezaji?